Hotuba ya Lowassa yavuja

Hotuba ya Lowassa yavuja

Alikuwa wap zaman harafu nilizan atarudisha fesa yetu ya richmond aliyosepa nayo

Hilo ungemuuliza mkwere ambae ni ring leader ningekusifu sana, keshasema mpelekeni mahakamani mbona hamutaki, mpekeleni tu mahakamani manake hamna namna msimung'unye maneno
 
Wandugu, nimepata kipande kikubwa cha hotuba ya Lowassa ya kufungia Kampeni, kuna mambo mapya meengi saana atayaongea, ambayo nina uhakika yatamuongezeau kura nyiiingi saaana zilizokua zimebaki CCM.

Kwa ufupi kati ya hayo mambo ni yafuatayo;

1. Kulipa madeni yote ya ndani, kuanzia kwa watu binafsi, makampuni ya ndani na watumishi wa umma, wanoidai serikali, wakiwemo na wafanyakazi wa iliyokua jumuiya ya Africa Mashariki, (wale wazee), pia kuna watu wanaidai serikali kutokana na kuishinda serikali kwenye kesi mahakamani lakini hawajalipwa na serikali haina mpango wa kuwalipa.

Hatua hiyo, licha ya kwamba itamuongezea kura, itasaidia saana kunyanyua uchumi wa watanzania wengi.

2. Lowassa, anaahidi kuwalipa fidia (kuwarudishia fedha zao) wale wote walioathirika na upatu wa DECI, walipanda lakini hawakuvuna. Ikumbukwe kwamba fedha zao zilikamatwa na serikali ikazichukua, viongozi wao wakafungwa lakini serikali haijawarudishia fedha waathirika na wala haijasema imeweka wapi zile fedha ambazo zinakadiriwa kuwa zaidi ya Billioni 29.

3. Pia anawapa moyo na kuwaahidi watumishi wa umma, kwamba ajira zao katika utumishi wa Umma zitaendelea kuwa vile vile, mathalani kwa mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu, wakurugenzi wa halimashauri, wakurugenzi wa idara mbali mbali. Vyeo vyao vitaendelea kuwa kama kawaida, kama kubadirishwa itakua ni sababu yabutendaji na sio uhusiano wao na vyama.

Na mengine mengi subirini wenyewe kuisikiliza hotuba.

Nahisi hotuba ya hitimisho itamuongezea kura nyiingi saana Lowassa.

ndivyo mlivyopangana kulipwa fadhila baada ya kutukana na kurubuni vijana wa bodaboda!
kama kuna mtu anaidai serikali aende mahakamani!
Nchi haiitaji kuwa wananchi wanaoamini katika kupanda fedha! mtu mwenye akili timamu hawezi kupanda pesa, na ktk principles za maisha huwa kuna survival of the fittest! acha wanyonge wenye akili mbovu hivyo waadhibiwe ili tusiwe na raia mburula namna hiyo!
 
Mkemia amwige mwigizaji? Ninachojua mwigizaji atajaribu wanachofanya wakemia.
 
Wandugu, nimepata kipande kikubwa cha hotuba ya Lowassa ya kufungia Kampeni, kuna mambo mapya meengi saana atayaongea, ambayo nina uhakika yatamuongezeau kura nyiiingi saaana zilizokua zimebaki CCM.

Kwa ufupi kati ya hayo mambo ni yafuatayo;

1. Kulipa madeni yote ya ndani, kuanzia kwa watu binafsi, makampuni ya ndani na watumishi wa umma, wanoidai serikali, wakiwemo na wafanyakazi wa iliyokua jumuiya ya Africa Mashariki, (wale wazee), pia kuna watu wanaidai serikali kutokana na kuishinda serikali kwenye kesi mahakamani lakini hawajalipwa na serikali haina mpango wa kuwalipa.

Hatua hiyo, licha ya kwamba itamuongezea kura, itasaidia saana kunyanyua uchumi wa watanzania wengi.

2. Lowassa, anaahidi kuwalipa fidia (kuwarudishia fedha zao) wale wote walioathirika na upatu wa DECI, walipanda lakini hawakuvuna. Ikumbukwe kwamba fedha zao zilikamatwa na serikali ikazichukua, viongozi wao wakafungwa lakini serikali haijawarudishia fedha waathirika na wala haijasema imeweka wapi zile fedha ambazo zinakadiriwa kuwa zaidi ya Billioni 29.

3. Pia anawapa moyo na kuwaahidi watumishi wa umma, kwamba ajira zao katika utumishi wa Umma zitaendelea kuwa vile vile, mathalani kwa mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu, wakurugenzi wa halimashauri, wakurugenzi wa idara mbali mbali. Vyeo vyao vitaendelea kuwa kama kawaida, kama kubadirishwa itakua ni sababu yabutendaji na sio uhusiano wao na vyama.

Na mengine mengi subirini wenyewe kuisikiliza hotuba.

Nahisi hotuba ya hitimisho itamuongezea kura nyiingi saana Lowassa.

Mbona hayo ni mambo ya kawaida? Mabadiliko yako wapi hapo? Angetuambia atakusanya kodi kikamilifu kutoka kwa mafisadi wenzake labda angeeleweka.
 
Lowassa anakumbuka deni aliloitia Taifa baada ya kubomoa Maghorofa ya Oyster-bay?

Mkumbusheni asisahau kuyaongelea hayo.
 
Nimecheka sana leo kusikia Magufuli anawambia watu wa Mlandizi wasiuze ardhi yao maana anampango wa kujenga viwanda kama Elfu moja eneo hilo ndani ya miaka miwili au mitatu. Nimejiuliza au huyu jamaa hata mashine za kusaga mahindi nazo anajua ni viwanda?

Jk alitoa ahadi nyingi sana ila wakaambulia patupu.

Sasa huyu mwenzetu anataka kutupeleka kulekule.
 
Kasikilize mahojiano yake na BBC then utabadilisha hio kauli yako ya Lowassa kuwa genius, Lowassa na Magufuli wote ni empty set tuuh

Kwasababu huelewi Lowasa alikuwa anamaanisha nini kwenye mahojiano yake.
 
Sidhani kama ataweza kuisoma kwa urefu huu labda atuwekee kwenye website ya chama tuipitie kabisa

Hiyo atakuwa ameisoma siku tano kwa vipande vipande vya dakika tano tano na kisha itaunganishwa
 
Lowassa anakumbuka deni aliloitia Taifa baada ya kubomoa Maghorofa ya Oyster-bay?

Mkumbusheni asisahau kuyaongelea hayo.

Naona atalilipa! Hivi yale maghorofa yalibomolewa kwa sababu gani? Eti ilikuwa yatoe nafsi ya upepo kupita kwenda kwa mzee?
 
Kama DeCi was an illegal thing.... Utawalipaje watu pesa out of something which was illegal...

Ni sawa mtu ufungue kesi mahakamani ya kudai pesa ulizodhulumiwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya

Hapo ndio ulaghai wa wanasiasa wetu ulipo, serikali inahusika vp na DECI? Serikali ilitoa tahadhari watu wasiweke pesa, mpaka wanaifunga ilikuwa kiasi cha b1 tu, wakati ilikuwa imeshawachangisha zaidi ya b30 analipa kwa pesa ya nani?
 
Wengine waathirika wa DECI...tuliwakataza wasicheze wakakomaa hakuna msaada hii taarifa siyo ya kweli na haisaidii kwavile Magufuli anachukua nchi
 
Nimecheka sana leo kusikia Magufuli anawambia watu wa Mlandizi wasiuze ardhi yao maana anampango wa kujenga viwanda kama Elfu moja eneo hilo ndani ya miaka miwili au mitatu. Nimejiuliza au huyu jamaa hata mashine za kusaga mahindi nazo anajua ni viwanda?

Kuna bajeti nyingine tofauti na ile iliyotangazwa juzi! Au hela za viwanda anatoa mfukoni mwake
 
magufuli atakanusha kuhusu desi,atakuja kusema eti ni ya zamani.... teh teh
 
Wandugu, nimepata kipande kikubwa cha hotuba ya Lowassa ya kufungia Kampeni, kuna mambo mapya meengi saana atayaongea, ambayo nina uhakika yatamuongezeau kura nyiiingi saaana zilizokua zimebaki CCM.

Kwa ufupi kati ya hayo mambo ni yafuatayo;

1. Kulipa madeni yote ya ndani, kuanzia kwa watu binafsi, makampuni ya ndani na watumishi wa umma, wanoidai serikali, wakiwemo na wafanyakazi wa iliyokua jumuiya ya Africa Mashariki, (wale wazee), pia kuna watu wanaidai serikali kutokana na kuishinda serikali kwenye kesi mahakamani lakini hawajalipwa na serikali haina mpango wa kuwalipa.

Hatua hiyo, licha ya kwamba itamuongezea kura, itasaidia saana kunyanyua uchumi wa watanzania wengi.

2. Lowassa, anaahidi kuwalipa fidia (kuwarudishia fedha zao) wale wote walioathirika na upatu wa DECI, walipanda lakini hawakuvuna. Ikumbukwe kwamba fedha zao zilikamatwa na serikali ikazichukua, viongozi wao wakafungwa lakini serikali haijawarudishia fedha waathirika na wala haijasema imeweka wapi zile fedha ambazo zinakadiriwa kuwa zaidi ya Billioni 29.

3. Pia anawapa moyo na kuwaahidi watumishi wa umma, kwamba ajira zao katika utumishi wa Umma zitaendelea kuwa vile vile, mathalani kwa mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu, wakurugenzi wa halimashauri, wakurugenzi wa idara mbali mbali. Vyeo vyao vitaendelea kuwa kama kawaida, kama kubadirishwa itakua ni sababu yabutendaji na sio uhusiano wao na vyama.

Na mengine mengi subirini wenyewe kuisikiliza hotuba.

Nahisi hotuba ya hitimisho itamuongezea kura nyiingi saana Lowassa.

Chadema walitaka vyeo vya DC na RC VIFUTWE SASA MGOMBEA ANAAHIDI TOFAUTI....UONGO JUU YA UONGO
 
Unamwandikia
Hayo uliyoandika atakumbuka?

kama hataanza kuelezea mambo mengine na kuishia kusema CCM hoyee.
Hivi atahutubia Live AU MMEMREKODI MTARUSHA KIPORO?
 
Wandugu, nimepata kipande kikubwa cha hotuba ya Lowassa ya kufungia Kampeni, kuna mambo mapya meengi saana atayaongea, ambayo nina uhakika yatamuongezeau kura nyiiingi saaana zilizokua zimebaki CCM.

Kwa ufupi kati ya hayo mambo ni yafuatayo;

1. Kulipa madeni yote ya ndani, kuanzia kwa watu binafsi, makampuni ya ndani na watumishi wa umma, wanoidai serikali, wakiwemo na wafanyakazi wa iliyokua jumuiya ya Africa Mashariki, (wale wazee), pia kuna watu wanaidai serikali kutokana na kuishinda serikali kwenye kesi mahakamani lakini hawajalipwa na serikali haina mpango wa kuwalipa.

Hatua hiyo, licha ya kwamba itamuongezea kura, itasaidia saana kunyanyua uchumi wa watanzania wengi.

2. Lowassa, anaahidi kuwalipa fidia (kuwarudishia fedha zao) wale wote walioathirika na upatu wa DECI, walipanda lakini hawakuvuna. Ikumbukwe kwamba fedha zao zilikamatwa na serikali ikazichukua, viongozi wao wakafungwa lakini serikali haijawarudishia fedha waathirika na wala haijasema imeweka wapi zile fedha ambazo zinakadiriwa kuwa zaidi ya Billioni 29.

3. Pia anawapa moyo na kuwaahidi watumishi wa umma, kwamba ajira zao katika utumishi wa Umma zitaendelea kuwa vile vile, mathalani kwa mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu, wakurugenzi wa halimashauri, wakurugenzi wa idara mbali mbali. Vyeo vyao vitaendelea kuwa kama kawaida, kama kubadirishwa itakua ni sababu yabutendaji na sio uhusiano wao na vyama.

Na mengine mengi subirini wenyewe kuisikiliza hotuba.

Nahisi hotuba ya hitimisho itamuongezea kura nyiingi saana Lowassa.
hachelewi kusahau kila kitu kisha akamuita mbowe mheshimiwa rais wa wachaga mtukufu
 
Back
Top Bottom