Hotuba ya kutisha!!!!!!!!

Hotuba ya kutisha!!!!!!!!

Unajua sijawahi kuchangia sehemu hii ya udaku na mara nyingi huwa sivijari humu kabisa. Niliingia hapa kutokana na curiosity ya hii headline sasa wakati naanza kusoma maneno haya...

... sikuwa makini sana (yaani sikuwa attentive na ninacho kisoma), nikaendelea kusoma mpaka nikafika hapa...



... hapo pia sikuwa na shaka (nikasema inawezeka ni kweli) kwasababu nipo mbali na nyumbani kwahiyo yanayozungumzwa redioni siyafahamu, mambo ya bongo nayapatia hapa JF.

Nilipofika hapo...



... pia sikuona tatizo kwasababu nilishasoma hapa jamvini kuwa wamesitisha huduma ya babu, nikaendela mpaka hapa...


kufika namba mbili...



Nikasituka! (kumbuka sikujua nipo jukwaa gani), ghafla nikaanza kutia shaka na ninacho kisoma kwasababu mara nyingi wakati na soma kitu hupenda kusoma huku nikiangalia lengo la mwandishi. Kwahiyo nikaacha kusoma kabisa na kuangalia juu kwenye browser bar kutaka kujua kama ninacho kisoma ni kweli au ni mauzauza tu.

Ndipo niakaona https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/116935-hotuba-ya-kutisha-2.html. Nilicheka sana huku nikamalizia kusoma.

Mkuu ubarikiwe kwa kutupatia kisheko hiki kweli kuna watu mmejaaliwa ku-hit home katika ujumbe.
Ukiwa na stress, nashauri tembelea jukwaa hili!
 
Aminia sana! Nitakupigia debe kwa JK akufanye uwe mshauri wake. Hana hiyana yule jamaa.. Utaula! Lakini usinisahau.
 
Ndoto yako ya ukweeli...lakini inabd serikali ijifikirie kabla ijaamua.
 
Back
Top Bottom