Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,480
- 7,459
Wacha ushabiki na unazi, katetee taifa lako liepukane na wizi huu uluotamalaki kwa miaka 10 sasa. Bila lowasa kuanzisha kundi la mtandao uliomuweka kikwete haya yasingelikuwepo. Huyu mtu aliasisi jambo lilotucost sana kutokana na tamaa ya kupokezana urais kama uchifu. Kutofautiana kwao ni heri kwetu. Fanya maamuzi sahihi, hakuna rais wa ubia. Weka unazi pembeni.Amejifurahisha tu, sisi ni critical thinker, hatusikii tuka amua muda ule ule. Labda niku hulize wewe Kikwete, Lowassa alipo ulizwa kuhusu Lchmond, alijibu kwamba mamlaka ya juu ndo ilitoa kibali. Na hata kwenye kikao cha mawaziri mamlaka ya juu ilipiga cm na kusema mambo ya endelee
Mheshimiwa
Kama Lowassa alivyo eleza hivyo mapema kabisa, Kikwete ume endesha kampeni kwa muda siku 60, kwanini hukuwai kujibu au kutolea ufafanuzi wa kauli ya Lowassa mpaka usubiri leo siku ya mwisho ndo ujibu mapigo?
1.Hii ni wazi uliona ukijibu mapema uenda kuna ushahidi, au majibu mengine ambayo Lowassa angeweza kutoa na hivyo wewe ukapata aibu, kwa hiyo uka amua ujibu leo ukijua ni mwisho wa kampeni hakuna argument yoyote utapata.
2.Swali lingine Mh Kikwete, ile kauli ya Mwakyembe Bungeni kwamba "mengine hatukuyasema kwa sababu ya kuilinda serikali" kwanini leo usiitolee ufafanuzi kwamba ni mambo gan wali ya hacha kwa maslai ya taifa?
3.Swali lingine, wewe kama kiongozi wa nchi, unadhubutu kusema afya ya Lowassa ilikuwa pia ni kigezo, huoni kwamba una hamasisha unyanyapaji wa wagonjwa hadharan?. wewe ulivyo enda kutibiwa marekani, ulipo rudi ulinyanya paliwa na nan?
KWA KIFUPI KIKWETE KWA HILI. UMETUFRAHISHA TU,KAMA ULIVYO TUFURAHISHA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. UBARIKIWE SANA