Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

Rais anakuja kutulalamikia sisi tufanye nini ati watu hapa wanamsifia where is this country heading to???dah inasikitisha sanaaaa watanzani na ushabiki wa ajabu SWALI NI KWANINI HAKUMSHITAKI LOWASSA?YEYE NDIE MKUU WA NCHI!!HILI PEKEE LINATOSHA KABISA KUWAADHIBU CCM.
 
bom la richmond na fya ya lowasa imevunja gome ya ukawa

Mh! Ivunje!? Kwn ni vitu vigeni. .!? Ni breaking news..? mbona ni marudio, km ni kuvunja ingeshavunja muda mrefu.. Ila unaruhusiwa kujifariji
 
Rais anakuja kutulalamikia sisi tufanye nini ati watu hapa wanamsifia where is this country heading to???dah inasikitisha sanaaaa watanzani na ushabiki wa ajabu SWALI NI KWANINI HAKUMSHITAKI LOWASSA?YEYE NDIE MKUU WA NCHI!!HILI PEKEE LINATOSHA KABISA KUWAADHIBU CCM.

the hagueee
 
Hapa ni Edward Ngoyai Lowassa tu ndiyo Bavaria ya Urais. Hiyo mipasho ndiyo tulidanganywa nayo hasa kwa miaka kumi ya mzee wa mipasho.
 
bom la richmond na fya ya lowasa imevunja gome ya ukawa
Mimi nilitegemea Lowassa "mgonjwa"/ "afya mgogoro" angeanguka jukwaani kama mwenyekiti "Aisee!!"
Lakini Lowassa amemaliza kampeni akiwa anadunda, kwa hili tu naamini Lowassa anafaa kupewa uongozi wa nchi na kama atapata afya mgogoro baada ya hapo, ikiwa ni kipindi kifupi baada ya kuingia madarakani tutaweka mwengine.
La msingi akiingia tu. Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi viwe ndio vipaumbele ndani ya siku 100.
 
Kikwete amehitimisha kampeni za CCM mkoani Mwanza na kutoa hotuba ambayo huenda ikawa imeharibu taswira nzima ya ufungaji wa kampeni za Magufuli, kwa sababu imekosa HEKIMA, USTAARABU, UKWhELI na UKOMAVU.

Katika mazingira ya ushindani wa kisiasa uliokuwepo kwenye uchaguzi huu, kila kura ina thamani kubwa sana kwa sababu inaweza kuamua mshindi. Katika hatua hii ya mwisho kura pekee zinazotafutwa ni za watu ambao hawajaamua, na hili ni kundi la JAMII.
Sitaki kuamini kama kundi hili la jamii linaweza kuvutiwa na kuichagua CCM kwa hotuba ya MIZAHA namna hiyo.

Kwa ufupi kabisa, hotuba hiyo ya Kikwete ilijaa
1/Mipasho na vijembe dhidi ya Lowassa na UKAWA.

2/Sifa za kijinga kwa Magufuli na CCM.

3/Majigambo ya yeye kukaa madarakani.

4/Kejeli na dhihaka juu ya Afya ya Lowassa.

5/Kurusha mpira wa kashfa ya Richmond.
Hotuba Haina Makosa Hata Kidogo Labda Kama Unaiangalia KISIASA , Hakuwa Anahutubia Mkutano Wa INJILI Bali wa KISIASA na Amesema Ukweli TUNDU LISSU Alitaka Aseme Ukweli Leo KASEMA
 
Kama Rais wa nchi tulitegemea ndugu yetu Kikwete usimame na kukemea wale wote wenye kuleta mzaha kwa wagonjwa lakini leo hii umekuwa kinara wa kuwa pinga wagonjwa wazi wazi. Kwa hili la kuongelea ugonjwa wa Lowassa kama kikwazo cha yeye kuwa Rais mimi kama mzalendo na mwenye imani kwamba tuliumbwa kwa mfano wa mungu nina ziweka kauli zako hizi mbele yake yeye awezaje yote ili kama wewe Kikwete unahisi uzima wako ndio uliokufanya wewe ukawa Rais na kupelekea kutoa kauli za namna hii mbele za binadamu wenzako. Mwenyezi mungu wa Rehema akuonyesha ishara zake.
 
Jakaya kazidi kumwaribia Magufuli..... Lowassa kamaliza kampeni vizuri sana, na kwa hakika Lowassa anapata kura yangu na familia yangu

Nilijua hatakuwa na jipya, hajitambui na hana uhakika na kesho. Anaweweseka KWA kutojua Yatakayotokea kesho inamsumbua sana. zimebakika 180 tu, tukachinje cc. kura zote kwa LOWASSA
 
Huyu mkuu wa kaya anadhani watanzania wajinga,kwanin ayaseme hayo kwenye kufunga kampeni?Tena Siku ya mwisho?
 
Back
Top Bottom