Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,129
35,148
Kikwete amehitimisha kampeni za CCM mkoani Mwanza na kutoa hotuba ambayo huenda ikawa imeharibu taswira nzima ya ufungaji wa kampeni za Magufuli, kwa sababu imekosa HEKIMA, USTAARABU, UKWhELI na UKOMAVU.

Katika mazingira ya ushindani wa kisiasa uliokuwepo kwenye uchaguzi huu, kila kura ina thamani kubwa sana kwa sababu inaweza kuamua mshindi. Katika hatua hii ya mwisho kura pekee zinazotafutwa ni za watu ambao hawajaamua, na hili ni kundi la JAMII.
Sitaki kuamini kama kundi hili la jamii linaweza kuvutiwa na kuichagua CCM kwa hotuba ya MIZAHA namna hiyo.

Kwa ufupi kabisa, hotuba hiyo ya Kikwete ilijaa
1/Mipasho na vijembe dhidi ya Lowassa na UKAWA.

2/Sifa za kijinga kwa Magufuli na CCM.

3/Majigambo ya yeye kukaa madarakani.

4/Kejeli na dhihaka juu ya Afya ya Lowassa.

5/Kurusha mpira wa kashfa ya Richmond.
 
Ilitaka kuhutubia ww? Mbona hujawahi kumsaidia Lowasa kuhutubia?
 
Back
Top Bottom