King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 329
Kama ni usahaulifu mbona unaanzia hapahapa JF. Tumeshasahau huyu Maggid ndiye alikuja hapa na vijiarticle vyake aki-spin mambo wakati wa kampeni za uchaguzi! Nimeshangaa juzi kaja na lile la kukutana na dr. Slaa pale Mikumi! Ili asitengwe na wenzake akaunganisha na kukutana na Makamba! Lazima kuna wenzake wamemng'ong'a ndiyo akaamua kuja na hii makala ya kijinga! Kwenye blog yake kaandika jana ndio mkataba wake wa kazi ndio mwisho, unategemea nini? Kujikosha, kujikomba, kujipendekeza kama samaki mwenye njaa aliyeona chambo kwenye ndoana! Ukisoma hii makala utaona tu imehaririwa na kamwe haikuandikwa baada ya hotuba ya JK. Mimi ningemshauri amalizie ile makala yake ya Mwamwindi akimaliza aanze stori la kaburi la Kiyeyeu lililohamishwa juzi baada ya kushindikana muda mrefu akimaliza aanze stori ya Makamba amtafute yule mama aliyebakwa na Makamba akimaliza aende Igunga akaandike jinsi Rostam alivyoigeuza Igunga kuwa Singapore ya Afrika!Watanzania ni wasaulifu sana leo nini hapo cha kupongzea na kusema ataandika historia mkidanganywa kidogo tu mnasahau shida zote.
Kwahiyo sasa tunamsifu mtu kwa kufanya kazi yake?????;mnasahau kuwa wenzetu walifika kwenye katiba mpya baada ya kumwaga damu na kutiana jela.
JK tunampongeza kwa kutupeleka kwenye mjadala wa jambo hilo bila ya kufika huko na kwa hilo ndio tunapomsifia
JK ni kiongozi na sio mtawala
Kama ni usahaulifu mbona unaanzia hapahapa JF. Tumeshasahau huyu Maggid ndiye alikuja hapa na vijiarticle vyake aki-spin mambo wakati wa kampeni za uchaguzi! Nimeshangaa juzi kaja na lile la kukutana na dr. Slaa pale Mikumi! Ili asitengwe na wenzake akaunganisha na kukutana na Makamba! Lazima kuna wenzake wamemng'ong'a ndiyo akaamua kuja na hii makala ya kijinga! Kwenye blog yake kaandika jana ndio mkataba wake wa kazi ndio mwisho, unategemea nini? Kujikosha, kujikomba, kujipendekeza kama samaki mwenye njaa aliyeona chambo kwenye ndoana! Ukisoma hii makala utaona tu imehaririwa na kamwe haikuandikwa baada ya hotuba ya JK. Mimi ningemshauri amalizie ile makala yake ya Mwamwindi akimaliza aanze stori la kaburi la Kiyeyeu lililohamishwa juzi baada ya kushindikana muda mrefu akimaliza aanze stori ya Makamba amtafute yule mama aliyebakwa na Makamba akimaliza aende Igunga akaandike jinsi Rostam alivyoigeuza Igunga kuwa Singapore ya Afrika!Watanzania ni wasaulifu sana leo nini hapo cha kupongzea na kusema ataandika historia mkidanganywa kidogo tu mnasahau shida zote.
mm watanzania wenzangu nnakuvulieni kofia kwa ubingwa wa kupingana na lolote lile, liwe positive or negative
mkuu angesema kuwa katiba iliopo iko safi ila inahitaji marekebisho kidogo wangesema, kasema ataunda kamati ya jopo la wataaluma ili waangalie suala hilo pia wanasema
watanzania ni watu wagumu kuwaongoza.
Pole Rais wetu, ila ukiondoka watakukumbuka tena sana, umetufanyia mengi tena mengi tukiondowa ushabiki tunayaona na utapoondoka tutashindwa kuyahesabu.
Watanzania wengine bwana sijui akili zao zipoje? kitu kidogo tu kikifanywa wanapongeza yanapotokea mambo mazito kama ya DOWANS hutawaona kabisa akina Mjengwa wakiongea chochote hapo ndo tunaposhindwa kuwaelewa. Kesho utasikia watanzania waandamana kupongeza hotuba ya JK
Maggid am out...... ukishapitia ile report ya kesi ya DOWANS aliyoleta invisible please PM me hapo takuwa na chakuchangia..... huku kupeana pongezi kusiko na kichwa wala miguu hakuleti tija.
somebody please shoot me!! yaani he is now a hero? really?
Hivi JK angekalia kimya hoja hii akamaliza muhula wake km wengine na nchi ikaingia katika machafuko ingekuwa nini kwake?
mkuu ile siyo tafsiri, ni dibaji.... Hivi tunasoma wapi siku hizi?ndugu wana jf,
hawa watu kama wakina majjid mjengwa ni waandishi uchwara, wao huwa wanafikiria kuandika kuwasifia watawala wakati hata kazi ya kuandikwa kwa hiyo katiba mpya haujaanza, hata hiyo tume hatujui ni watu gani wameteuliwa, hatujui mchakato utachukua mda gani? Hatujui nia ya serikari ni safi au ni gimmicks ya kuwahadaa wananchi, halafu mtu anakuja na kuanza kumwaga sifa even the job has not began, hii ni sawa na kushangilia ushindi wa george w, bush, that mission accomplished in iraq while the battle has just began,
majid, alitakiwa kuandika article ya kuonesha ni jinsi gani sasa tutaweza ku accomplish hii mission sio sifa zisizostahili kwa unafiki mkubwa, waandishi kama hawa wanapaswa kulaaniwa na taifa hili, kwani yeye anakaa kwenye sideline na kutaka kutoa cheap political point kwa mtu ambayo bado haja stahili tu earn that score. Huuu ni aina ya uandishi wa kutiliwa mashaka makubwa.
Please mjengwa, your ruining your reputation for awarding cheap political point for somebody who has not yet earned but he might earn when the job is completed.