Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

mbona kama ana m attack lowassa binafsi mbona yeye ni mzinzi watu wapo kimya hv magufuli ni msafi ina maana dr slaa anamuona magufuli ni msafi huyu kweli kanunuliwa
 
DR. Slaa, siku akiapishwa itakuwaje?? umefikiri upande wa pili wa shilling??
 
Dr Slaa ni Zaidi Ya Kiongozi kwa kweli....Lowasa ni fisadi kwenye kichwa, Moyo na nafsi yake..
 
Back
Top Bottom