Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

Huyu mzee bure kbs. Mwanzo kasema iwapo Lowasa angaingia CDM na idadi wa wana CCM alioahidi asingetoka. Sasa hivi amebadilika ana single ya Richmond.
 
Babu mbona kahamia ccm hahitaji uwe na phd kuweza kung'amua hilo hadi Star tv inarusha hahahahahahaha Watanzania wa leo wanataka mabadiliko kwa njia ya halali au siyo ya halali maana wamechoka
 
walioomba tenda ya richmond walikuwa 26 waliorudisha walikuwa 8 kamati ikapitia ikaonekana wote hawana sifa, Msabaha akaitisha tena ili kuwajadili wale 8...msabaha alipata wapi kiburi hicho?
 
Dr. its too late, sisi tunasonga mbele!! Lowassa tumeshaamua kwenda naye tu !!
 
Back
Top Bottom