Slaa amesahau kuwa yeye alifukuzwa na CCM na kukimbilia CHADEMA.
hana upande wowote
Nitakushangaa sana kama ukibadilika sababu ya hizi propaganda.
Tusonge mbele my dear, mabadiliko yako palepale.
.. toa idadi... na inahusinaje na uadilifu???Chadema kalalamika slaa tu. Lakini ccm wengi walilalama ubakwaji wa demokrasia. mbona hamsemi? Propaganda za kipuuzi hazi wafikishi popote. Kwa kukiuwa kwa denokrasia sasa hivi ccm imekimbiwa na wangapi?
Lowasa ni liability..
Alipaswa kutoa hizo stori zamani siyo sasa maana hata jiwe nitalipa kura yangu. Nacho jiuliza kwanini hawaendi mahamani kumshitaki?
Waandishi wamuulize kwa nini alishiriki kumfukuza Zitto?
Pia, kabla ya kuhamia CDM alikuwa chama gani, na sababu zipi zilipelekea kuhama?