Hotels/Lodge Marketing.

Hotels/Lodge Marketing.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
13,999
Naipenda nchi yangu yangu pamoja na kukuza biashara ya Hoteli(malazi) ningependa kufanya kazi na watu mbali mbali kwenye eneo hili kwa malipo ya Commission pindi nitakapopeleka wageni. Ukihitaji maelezo zaidi nipigie au tourismtanzania@yahoo.com
 
Naipenda nchi yangu yangu pamoja na kukuza biashara ya Hoteli(malazi) ningependa kufanya kazi na watu mbali mbali kwenye eneo hili kwa malipo ya Commission pindi nitakapopeleka wageni. Ukihitaji maelezo zaidi nipigie simu 0752 489529 au tourismtanzania@yahoo.com

mkuu napenda jua kwa eneo ungepependa kwa dar na commissn yako inaendaje na flow yako ya wageni ikoje? kama iko powa hata nipm tuongee
 
Mimi nakaribisha mtu yeyote mwenye hoteli/msimamizi wa hoteli sehemu yeyote nchini,ninaweza kufanya naye kazi.Flow ya wageni inadepend ila inategemea la location ya hoteli,sihitaji mshahara wa mwezi ila ni COMMISSION depend on sales.Ukiwa tayari nipigie simu kwa namba zangu 0752 489529
 
Kila la kheri mkuu. Its a nice idea. Nakupongeza kwa hilo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii Style mpya ya ujasiriamali,unachukua chako unasepa
Bonge la wazo,

Nimekutumia email,check and advise
 
Mkuu, kama kweli unao hao wageni/wateja basi sidhani kama unahitaji kujitangaza hivi, kazi hizi zipo milioni yaani mimi ningekuwa kama wewe dah! sijuwi ingekuwaje lazima tayari ningekuwa na ofisi au kampuni yangu siku nyingi. Hii ni biashara kubwa sana.

Naipenda nchi yangu yangu pamoja na kukuza biashara ya Hoteli(malazi) ningependa kufanya kazi na watu mbali mbali kwenye eneo hili kwa malipo ya Commission pindi nitakapopeleka wageni. Ukihitaji maelezo zaidi nipigie simu 0752 489529 au tourismtanzania@yahoo.com
 
Mkuu, kama kweli unao hao wageni/wateja basi sidhani kama unahitaji kujitangaza hivi, kazi hizi zipo milioni yaani mimi ningekuwa kama wewe dah! sijuwi ingekuwaje lazima tayari ningekuwa na ofisi au kampuni yangu siku nyingi. Hii ni biashara kubwa sana.
Sio kwamba nina wageni nyumbani kwangu,ila nina andaa mkakati wa kupata booking baada ya watu kuiona hotel yako na facilities zake,so wakiona na bei zake ndipo watakapoweza kufanya booking,watakapofika mwisho wa mwezi ndio naleta Invoice yangu kutokana na idadi ya wageni nilioleta,tayari kwa ajili ya kulipwa..! Naamini hiyo kitu inafanya kazi/kupata wageni ndio maana sihitaji malipo kabla ni makubaliano tu..!
 
Hii Style mpya ya ujasiriamali,unachukua chako unasepa
Bonge la wazo,

Nimekutumia email,check and advise
Tayari nimekujibu email yako,ukiwa na fursa si vibaya kushare na wengine ila hapa Tz wengi wana great ideas ila hawapendi na wengine wafanikiwe..!
 
Mkuu, kama kweli unao hao wageni/wateja basi sidhani kama unahitaji kujitangaza hivi, kazi hizi zipo milioni yaani mimi ningekuwa kama wewe dah! sijuwi ingekuwaje lazima tayari ningekuwa na ofisi au kampuni yangu siku nyingi. Hii ni biashara kubwa sana.
Nimetangaza ili watu wajitokeze kwa wingi wenye uhitaji,sihitaji kufanya siri kwani napenda kukuza Uchumi wa kila mtu.Kamata fursa twende zetu..!
 
Sawa Mkuu, nitakutafuta badaye kidogo tuongee, namba yangu hii 0769142586.

Back
Top Bottom