Nashughulikia masuala mbalimbali Dar bila wewe kufika huku

Nashughulikia masuala mbalimbali Dar bila wewe kufika huku

albo_stunz

Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
5
Reaction score
6
Habari,

Hii ni kwa ajili ya wadau waliopo mikoani (Nje ya Dar es Salaam) na wana shida ya kufika Dar es Salaam ili kutatua shida zao, Wanaweza kuokoa muda, gharama za malazi na usafiri, pamoja na usumbufu kwa kuniagiza mimi. Okoa gharama za usafiri, muda pamoja na usumbufu kwa kuniagiza mimi nishughulikie majukumu yako hapa Dar es salaam.

Kisha utanipa kiasi kidogo cha malipo baada ya kufanikisha kazi uliyonipatia. Nina fanya kazi kwa uaminifu mkubwa ili kukuridhisha mteja wangu.

Lakini pia ninatoa huduma hii hata kwa uliepo Dar es Salaam lakini upo busy na shughuli nyingine hivyo kukosa muda wa ku-deal na maswala fulani. Huduma zangu ni unlimited kumaanisha kuwa ninafanya kila shughuli (halali) kutokana na maelezo pamoja na maagizo ya muhusika.

Mfano wa huduma zangu ni kama;

1. Kusimamia Uagizaji wa mizigo mbali mbali kutoka Dar kwenda mikoani pomoja na na kuipokea

2. Kupeleka Nyaraka (Documents) kwenye Maofisi mbali mbali.

3. Kufatilia maswala yako binafsi kwenye Taasisi zote za binafsi, umma /serikali.

3. Kufanya site visit

4. Kufanya booking za vyumba na kufatilia sehemu za kufikia wageni(Guest house, hotels, and restaurants)

5. Kufanya research juu ya bei ya bidhaa fulani na mahali zinakopatikana.

6. Kupokea Wageni ambao wanaingia Dar es Salaam mara ya kwanza na hawana wenyeji hapa.

7. Kukutana na watu mbali mbali

8. Kutafuta venue kwa ajili ya events

9. Kukagua miradi

Haya ni baadhi ya mambo ninayoweza kukusaidia, ila ninafanya mambo zaidi ya hayo kutokana na mahitaji yako.

Wasiliana na mimi kupitia mawasiliano hapa chini.

Call/whatsapp: +255716385824

Dar es Salaam

Okoa muda, okoa gharama, epuka usumbufu kwa kuniagiza mimi Majukumu yako.

Ahsanteni na karibu kwa huduma.
 
Back
Top Bottom