Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,933
Mkuu, hotel waseme nini tena wakati walishajitahidi kutoa issue mapema, ......mweupe mrefu.....
Sasa Kama mukulu ndanda Kosovo, I mean mzee manywele ameshasema wanyamaze, si unajua tena, walalaji wa hotel hiyo watakuwa walewale....
Soma Alama za issue yenyewe mkuu
Mamvi anahusikaje hapa?Tujuze
Sioni haja ya wao kujisafisha kwa sasa coz nao wamejiharibia..Hivi kwanini isiwepo sheria ambayo itakataza watu kuingia na silaha za moto kwenye nyumba za wageni?
iwe inakabidhiwa kituo cha karibu cha polisi..
Wakijisafisha watasemaje?

Ulikuwa unataka ikajadiliwe kwenye kahawa wakati wa adhuhuri?Hivi hii issue bado inajadiliwa tu hapa?