Mkuu mwanakijiji, nakubaliana na wewe, ni kweli kwamba mwenye hotel au hotel yenyewe itakuwa imejipotezea creadibility mbele ya wateja wake, kumbuka pia hotel hii ina kamera za CCTV, bila shaka yeyote anayepita kwenye korido za hotel hiyo wanaweza tu ku down load hizo picha na kujua nani alimwibia muheshimia.
Lakini sasa, issue yenyewe ukiichunga vizuri ni kama mweshimiwa alikuwa anaisaliti ndoa yake hizi, kuna mtu humu ali comment kwamba Adam aliamua kuchezea mewata za mteja wake, ma CD wendi hupaka dawa za usingizi hapo kwenye mewata then mkuu akapitiwa na usingizi mzito, so wenye hotel wakitoa picha tu maana huyu CD aseme alimwibia vipi, ndoa ya Malima itakuwepo tena hapo, so nadhani wenye hotel wanao uwezo wa ku disclose information but wamefungwa mdomo.