Hoteli ya NASHERA imejiharibia?

MM, strategically Nashera imejitangaza sana, hakuna mtu asiyeijua kwa sasa labla wale wasiofuatilia news, but ingekuwa ni very positive kama wangesema ukweli kuwa wizi kama huo uliotolewa maelezo na Malima hauwezi kutokea katika Hotel hiyo, pasi na Mteja kuingia na mwizi chumbani. Hiyo ingekuwa ni PR nzuri.

Kwa kukubali kuficha ukweli Nashera Imepata NEGATIVE PR. Ni mwendawazimu pekee kati ya watu wanaojali usalama wao atakayeweza kulala usingizi wa kujiamini hotelini hapo. Katika dunia hii ya utandawazi dunia nzima imejua kuwa NASHERA MOROGORO is not safe place to sleep.

Wamekosea sana kumlinda Malima kwa kumkingia risasi kwa mgongo wao. Ni bora wangekaa kimya na kutumia polisi kumtafuta huyo dada aliyechoropoka na vifaa vya Malima, kwani nina hakika atakuwa alikuwa hamjui kama ni Naibu waziri, angejua asingemuibia. Polisi wanajua machangu wote na ndiyo mana wamevipata vitu hivyo vyote na kumwacha Malima akichekelea while NASHERA IS BREEDING for NEGATIVE RATINGS.
 
Ningependa kuuliza tu wajemeni. Je ndugu Malima alikuwa kwenye safari za kazi au binafsi? Kama alikuwa safari za kikazi, sijuhi kwanini alikwenda hotelini.

Miaka ya zamani. Kila mkoa na kila wilaya ilikuwa na Ikulu ndogo ambayo viongozi wa kitaifa walifikia. Na hizi Ikulu zilikuwa na ulinzi wa polisi.

Au siku zilibinafsishwa?

huyo bw mkubwa mwenyewe akisafiri halali ikulu ndogo! Arusha analala ngurdoto.
 
Hivi hii hadithi nyie bado mwaishobokea!!
Mi wamenchosha.....................................
 
Back
Top Bottom