Hoteli ya Golden Tulip yadaiwa kurudisha fedha za CHADEMA walizolipia ili kufanya kikao cha Kamati Kuu katika hoteli hiyo

Huwezi jua maana upeo wako wa kufukiria ni mdogo. Upo deep kwenye kijiko. Mtu anapata ruzuku kashindwa kujenga jengo la ofisi lenye kumbi ya mikutano. Atajenga nchi kubwa kama Tanzania kweli? Kasome wale waliopewa taranta kuna mmoja alipewa moja akaizika. Ndo hawa Chadema wanapewa ruzuku hata jengo hawana. Matokeo yake wanarudishiwa pesa na wenye kumbi zao.
Huu ni ujinga. Unajua madhumini hasa ya chama kupewa ruzuku?
Fedha za ruzuku ni recurrent expenditure na sio development expenditure hata siku moja.
Ruzuku haiwezi kupelekwa kwa chama ili wajenge majengo, au vitu vyao wapendavyo.
Ruzuku ni kuendesha na kukuza uwezo wa chama katika kuendesha shughuli zake za kisiasa pia kutoa elimu kwa viongozi na wanachama..
Hiyo sio pesa ya kuchimbia hata choo
 
Labda walipatikana watu wengine wenye uhitaji na ukumbi huo siku hizo tena kwa dau la maana na pengine wateja wa siku nyingi.

Nani anataka mabomu ya machozi kwenye biashara yake?

Hali ilivyo sasa mara mpaka vibali,mtakaa mpaka chini ya miembe!
 
Mbona bichwa lako la habari haliendani na utumbo wako wa habari?

Kama pesa zimerudishwa sasa wanadai nini tena?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Bi mkubwa kumbe upo? Habari za siku tele, siku hizi post zako zimepungua sana hapa kwenye jukwaa la siasa..umehamia upande upi?
 
Huyo kinacho mkwamisha na kumnyima raha ni dini ya kiongozi aliyepo madarakani
Bi mkubwa kumbe upo? Habari za siku tele, siku hizi post zako zimepungua sana hapa kwenye jukwaa la siasa..umehamia upande upi?
 
Back
Top Bottom