Hoteli ya Golden Tulip yadaiwa kurudisha fedha za CHADEMA walizolipia ili kufanya kikao cha Kamati Kuu katika hoteli hiyo

Chadema mnashindwa kujenga hata jengo lenu liwe na ukumbi wa mikutano. Mpaka leo bado mnakodisha kumbi za mikutano?

Halafu utakuta hawa wachagga wa chadema wana kumbi chungu nzima za maharusi wanakodisha.
 
Hapa tulipo fikia ni hatari sana na hiyo yote ni uoga tulio nao kwa wenye maguvu
By Boniface Jacob kupitia twitter:

Hotel ya GOLDEN TULIP, City Center ilikubali kupokea pesa ya CHADEMA kwa ajili ya Kufanya kikao cha Kamati kuu June 27-28 june 2019. Ghafla Meneja akarudisha pesa za CHADEMA wenye hoteli wamekataa CHADEMA wasitumie hotel yao .Tukabaguliwa kisiasa wanachadema tuamke tusikubali.
 
Hawa wajinga lengo lao ni kubadili mada ili kuficha aibu ya ujinga uliofanyika.

Wanataka kubadilisha mjadala kufunika aibu!
Hivi kwani Golden Tulip ni ya serekali? Tibuni mzizi. Jengeni jengo. Hata huyo diwani hakuona aibu kuandika hivyo?
 
Chadema mnashindwa kujenga hata jengo lenu liwe na ukumbi wa mikutano. Mpaka leo bado mnakodisha kumbi za mikutano?

Halafu utakuta hawa wachagga wa chadema wana kumbi chungu nzima za maharusi wanakodisha.
Acha kubadili mada kuficha\ hii aibu!!

Mambo haya ni ushaidi wa kushindwa kustaarabika na kubaki kuwa watu mnaofanya mambo ya hovyo katika ulimwengu huu wa wastaarabu(bado mko primitive sana kuishi katika hii karne)
 
Na huu ndio utetezi wako unao justify watu kunyimwa ukumbu wa hoteli kufanya kikao halali?

Aisee mnasikitisha!

Akili na kujenga hoja mmeweka mifukoni?
Nimejiuliza kwa Chadema anakwenda kukodi ukumbi? Ni kwa sababu hana ukumbi. Yes angekuwa na ukumbi hata huko GT asingeenda.Tibuni mzizi.
 
Hivi kweli hujiulizi chama kikubwa kama Chadema mpaka leo hakina chumba cha mikutano. Aibu.

Ukumbi wa mikutano wa chama cha CCM ulijengwa lini na hela walipata wapi?

Na CCM ipo madarakani miaka 60!

CDM haijawahi kua madarakani na haijawahi kua na fedha kama CCM

Then wewe unakurupuka kusema wajenge Ukumbi wa Mikutano kama wa CCM waliojengewa kwa msaada wa serikali ya China hapa juzi tu!

Naona unasahau sana na pia utetezi wako ni wa hovyo!

I’m sorry to say that!

Come with good materials bwana!
 
Nimejiuliza kwa Chadema anakwenda kukodi ukumbi? Ni kwa sababu hana ukumbi. Yes angekuwa na ukumbi hata huko GT asingeenda.Tibuni mzizi.

Unafeli!

CDM wajenge ukumbi kwa resource zipi walizonazo?

CCM imejengewa ukumbi kwa msaada wa China na ni juzi tu umejengwa!

Nyie wenyewe hela ya kujenga ukumbi mlikua hamnazo kwa miaka zaidi ya 60 madarakani!

CDM inapendwa kutoka mioyoni ndio maana ni chama kikubwa!

Mjiangalie sana!
 
Mkuu, lengo la hawa vibaraka wa Jiwe ni kubadii mada ili kuficha aibu ya walichofanya mabosi wao maana ni wazi mabosi wao ndio waliaogiza haya yafanyike.
 
Back
Top Bottom