Mbona poa tu. Mind your own shits.
Shits??? Nawe naye eti ni m
usomi wa lumumba?
ungeandika kiswahili tu,!...Haya endelea kusifu na kuabudu mungu mtu wako,upate kula
Mbona poa tu. Mind your own shits.
Jengeni kumbi zenu! Uliishasikia CCM wanafanyia Vikao vya Kamati Kuu hotelini?Duh! seriously tumefika huku
Sometimes wanafanyia Ikulu, si hotelini.Je, wote waende huko?Jengeni kumbi zenu! Uliishasikia CCM wanafanyia Vikao vya Kamati Kuu hotelini?
Jengeni huo ndio ujanja mtakodi hadi choo ofisi hakuna iwe ukumbi mtasubili sana dawa kujenga jengo lenu hapo ndio mwisho Wa mambo yote hamuoni ccm wana kila kitu hadi ikulu wana ukumbi ukienda Dodoma upo Lumumba upo shida kwenu Kazi yenu kulalama kama kila siku chadema vipBy Boniface Jacob kupitia twitter:
Hotel ya GOLDEN TULIP, City Center ilikubali kupokea pesa ya CHADEMA kwa ajili ya Kufanya kikao cha Kamati kuu June 27-28 june 2019. Ghafla Meneja akarudisha pesa za CHADEMA wenye hoteli wamekataa CHADEMA wasitumie hotel yao .Tukabaguliwa kisiasa wanachadema tuamke tusikubali.
View attachment 1174834
Kama Ikulu yupo Mbowe sawa.Sometimes wanafanyia Ikulu, si hotelini.Je, wote waende huko?