binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,170
- 34,633
Nashera, flomi hawa kuna club chini pale sijui kama bado iko open, au kama unapenda down town kuna GM japo kuna makelele maana ni mjiini. Kwa bajeti yako GM inakufaa.
GM iko wapiNashera, flomi hawa kuna club chini pale sijui kama bado iko open, au kama unapenda down town kuna GM japo kuna makelele maana ni mjiini. Kwa bajeti yako GM inakufaa.
Mjini kabisa kule, wanapaita downtown. Mara nyingi napanda tax, sio rahisi nikaijua mitaa.G
GM iko wapi
ooh poa maana ndio Leo nasikia Ilo jina..nikija Moro lazima niende hapo..Mjini kabisa kule, wanapaita downtown. Mara nyingi napanda tax, sio rahisi nikaijua mitaa.
MkuuNilipitwa Bhasi. By The Way Hii Habari Itamuogopesha Mdau Ashindwe Kwenda Nashera Hotel.
Tena si bastora, nakumbuk km bunduki kubw hiviHii Kali. Sijawahi Sikia.




mbunye sio ya mchezo kabisaMkuu kwanini hujaitaja Gwami hotel?
- Antique Legacy Hotel - Start Relaxing Your Soul and Enjoy Your Stay.
- Flomi Hotel - www.flomihotel.co.tz
- Tex Palace Hotel -
Walinzi wa GM noma sanaNenda GM hotel kaka
Kings way HotelWadau habari,
Baada ya Kazi ngumu,nimeona nikapumzike Mji Kasoro bahari!
Je ni hotel gani Nzuri na ya kisasa Ambayo Ina Range 50,000-100,000
Mkoani Morogoro?
Ha Ha Ha. Kweli Mbunye Ni Noma Mkuu.Tena si bastora, nakumbuk km bunduki kubw hivimbunye sio ya mchezo kabisa
Nashukuru Mkuu. Nimeusoma Mkasa Mzima.Mkuu
Habari Kuhusu Huyo Kiongozi Aliyenyooshwa Morogoro Ilikuwa Hot Sana Hapa Jamiiforums Ipo Yaani Morogoro Mjini Kuna Matukio Mazito
Ukiwaona Ditopile Wa Mwinshe Naye Alifariki Nyumba Ya Kulala Wageni Morogoro
Ukienda Search Hapa Jamiiforums Utaipata
Mfano Tazama Leo Habari Kuhusu Blandina Nyoni
Zote Za Miaka Mingi Sana
Hivi ile ICON ya yule Jonas bado inabamba?250,000 kuanzia
nashera hakuna za bei hyoNashera hotel
Hao mademu ni wa hapo Nashera au mnaingia nao?..nashera ni poa ila kuna ujambazi wa mademu....wamewahi kumliza waziri Malima enzi hizo hapo....mi baada ya tukio lile nliamua siku moja kwenda hapo na mlupo....nikaacha kila kitu kwenye Gari hadi wallet....nikaingia nae room....kitu cha kwanza nikazuga kulala....alipoona nimelala akanisachi....akakuta hola....nami nikashtuka....nikamwomba mzigo nikamkaza hadi anaomba puu... Akalala fofofo....kudadeki nami nikaamka nikamsachi nikamkomba kila kitu hadi chupi yake kudadeki nikatoka nikaondoka na Gari yangu....vitu vyake nikatupa huko...na hela niliyomlipa nikaondoka nayo.....hakika najua alikoma wizi.....sijarudi hapo kujua walimalizana nae vipi....