Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,420
- 1,741
Hiyo inajulikana ...hiyo ya jamaa ilikuwa ni changa la machoSI kweli..kuna jamaa alimpiga..alifungwa miaka mitatu
Hiyo inajulikana ...hiyo ya jamaa ilikuwa ni changa la machoSI kweli..kuna jamaa alimpiga..alifungwa miaka mitatu
jamaa namfahamu anaitwa Baba J..aliniuzia Samsung laptop min..na dollars kadhaa..nilikua mtaa WA John mahenge kwenye duka flan la computer sales and services...Hiyo inajulikana ...hiyo ya jamaa ilikuwa ni changa la macho
Alikuaga anakodisha baiskel kule chamwino! Hahah babaJ ni noma ila mtu mmoja poa sana ukikaa nae kupiga story mluguru yulejamaa namfahamu anaitwa Baba J..aliniuzia Samsung laptop min..na dollars kadhaa..nilikua mtaa WA John mahenge kwenye duka flan la computer sales and services...
Nitafika Pia Mkuu,nataka nifanye survey kwanza physical halafu ndo nijue wapi pametulia na pazuri,interms of chakula na Sehemu ya Kulala....Top life hotel au Nashera.. Kuna upepo mzuri sana kutokana na ukaribu na milima
Nitafika Pia Mkuu,nataka nifanye survey kwanza physical halafu ndo nijue wapi pametulia na pazuri,interms of chakula na Sehemu ya Kulala....
- Antique Legacy Hotel - Start Relaxing Your Soul and Enjoy Your Stay.
- Flomi Hotel - www.flomihotel.co.tz
- Tex Palace Hotel -
haha yeah aliniletea pila hadi forest coz maskani anapajua kashaleta Sana mizigo..chamwino kwao Mara nyingi nimetokea Kuna chocho wanakata Sana kamari..Baghdad..makondeko..mgulasi..Alikuaga anakodisha baiskel kule chamwino! Hahah babaJ ni noma ila mtu mmoja poa sana ukikaa nae kupiga story mluguru yule
Hahahaa, Baghdad ndo kubwa lao!haha yeah aliniletea pila hadi forest coz maskani anapajua kashaleta Sana mizigo..chamwino kwao Mara nyingi nimetokea Kuna chocho wanakata Sana kamari..Baghdad..makondeko..mgulasi..
Mkuu unasema alimpiga alimpiga ndo akachukua vile vitu au alimpiga kwa maana ya kumwibiahaha yeah aliniletea pila hadi forest coz maskani anapajua kashaleta Sana mizigo..chamwino kwao Mara nyingi nimetokea Kuna chocho wanakata Sana kamari..Baghdad..makondeko..mgulasi..
alimwibia,.Mkuu unasema alimpiga alimpiga ndo akachukua vile vitu au alimpiga kwa maana ya kumwibia
alikua anacheza ,namba yake bibi..naskia jamaa marehemu..coz Moro kitambo..and now I don't hustle in a slicky way..Hahahaa, Baghdad ndo kubwa lao!
Unafikiri alikuaga anacheza? Muoga yulee alikua anawapa wenzie pesa wamchezee!
Ila mjinga yule alikuaga anasimulia hadi anavyoiba hahahahaa!
Ooooh sawa sawaalimwibia,.
Hata mm Moro kitambo, nakumbuka mara ya mwisho kwenye hiyo saga na Malima ndugu zake walikua wanamtafutia dhamana!alikua anacheza ,namba yake bibi..naskia jamaa marehemu..coz Moro kitambo..and now I don't hustle in a slicky way..

Hata mm Moro kitambo, nakumbuka mara ya mwisho kwenye hiyo saga na Malima ndugu zake walikua wanamtafutia dhamana!
Moro pande zipi
Hii Nasikia ni kuanzia 300,000
Though ni Nzuri sana IPO Kule Liti!