Hotel Slipway inateketea kwa moto

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba ile Hotel Maarufu iliyoko Masaki , nje ya Jiji la Dar es salaam ya SLlP WAY, muda huu inawaka moto , Kwahiyo kama ulipanga kumuenzi Nyerere maeneo hayo basi badilisha kiwanja .

Taarifa zaidi zitakujia .....

Masaki ni nje ya jiji mkuu?
 
Back
Top Bottom