Pentagon Palace Hotel (2001) nyuma ya Tanga UWASA.
Me niliipenda iko affordable, choo kisafi, kitanda kizuri, hot n cold water, kuna chai ya bure, AC na fen, na TV.
Parking ni nje kwahiyo kwa wachepukaji sio nzuri maana mtu akipita analiona gari lako. Ila ulinzi upo.