Kwa vile umetaja hotel basi sidhani kama unataka kujua kuhusu guest house ambazo ziko nyingi zenye hali nzuri sana na ukiacha bei kuwa poa nazo huduma kama most hotels. kujibu ombi lako jaribu hotal hizi
- Morogoro hotel. sasa imekarabatiwa na iko juu. mandhari mazuri sana
- Hilux hotel, hii malazi mazuri ila imejibana sana. eneo limejaa hakuna mandhari nzuri
[*]Dragoner, wana vyumba vichache ila pametulia sana
[*]Arc Hotel, Mpya na view yake nzuri san, wana garden kubwa kuliko hotel zote morogoro. Sijui kuhusu malazi. Ila wana excellent food services- Oasis Hotel, hii ya siku nyingi kidogo. malazi nadhani pamechoka kiasi, ila wana huduma nzuri na chakula poa. mandhari nitulivu
inaitwa hilux hotel imejibana sana lakini jiko limepata mpishiKuna ile aliyokuwa Mh Ditopile kabla mauti hayajamkuta..jina nimeisahau.
Jamani kuna siku humu jamvini niliomba maelekezo ya Hotel za mjini Morogoro kwa mapumziko, bahati mbaya niliondoka hewani ghafla na zoezi halikufanikiwa (kuna vimatatizo vilijitokeza), nataka kuresume ratiba.
Naomba kwa wale waliotoa maelekezo yao na wengine wenye kujua wapi niende wanisaidie kunielekeza. Hope nitapata ushirikiano wenu wana jamvi.
Maelezo ya kina nimekuwa shirika la habari ndugu?
for ARC hotel visit this web page http://archotel-tz.com/ na utaweza ongea nao moja kwa moja
kwa Dragoner sina contact details zako
Kwa vile umetaja hotel basi sidhani kama unataka kujua kuhusu guest house ambazo ziko nyingi zenye hali nzuri sana na ukiacha bei kuwa poa nazo huduma kama most hotels. kujibu ombi lako jaribu hotal hizi
- Morogoro hotel. sasa imekarabatiwa na iko juu. mandhari mazuri sana
- Hilux hotel, hii malazi mazuri ila imejibana sana. eneo limejaa hakuna mandhari nzuri
- Dragoner, wana vyumba vichache ila pametulia sana
- Arc Hotel, Mpya na view yake nzuri san, wana garden kubwa kuliko hotel zote morogoro. Sijui kuhusu malazi. Ila wana excellent food services
- Oasis Hotel, hii ya siku nyingi kidogo. malazi nadhani pamechoka kiasi, ila wana huduma nzuri na chakula poa. mandhari nitulivu
inaitwa hilux hotel imejibana sana lakini jiko limepata mpishi