Hotel nzuri morogoro kwa mapumziko

Hotel nzuri morogoro kwa mapumziko

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,415
Reaction score
12,627
Jamani kwa wenyeji wa mji kasoro bahari, naomba mnisaidie wapi nitapumzika na mamaa mjini Morogoro, weekend tulivu.
 
Kaumba
Moro Night
Mount Uluguru
VETA
Masuka Village

e.t.c
 
Jamani kwa wenyeji wa mji kasoro bahari, naomba mnisaidie wapi nitapumzika na mamaa mjini Morogoro, weekend tulivu.

kaumba wapo wanaojiuza. kama ni mama wa ndoa loh! usithubutu
 
Jaribu

Morogoro Hotel ina manzari nzuri na sehumu safi kupumzika
Oasis Hotel- Station Road
 
Morogoro hotel ina madhari safi sana, rooms za ukweli na menu safi bila kusahau burudani kila weekend karibu sana Morogoro kaka nimuone shemeji yangu
 
Kitu kingsway hotel hapo morogoro kimetulia mkuu..hasa kwa wale tunaopenda utulivu na wazee wa low profile utapapenda...si unajuwa ukiwa na wive kitu cha utulivu matters the most...munapata nafasi ya kujadili penzi lenu na kukumbushiana honeymoon yenu....i wish wangekuwa na kiji-swiming pool....pangekuwa balaa sana aisee
 
naomba contacts za Kingsway tafadhari, nataka kufanya reservation pale...

Back
Top Bottom