Hiyo ya sasa inafaa na ni nzuri Khantwe, ila mwaka mpya na avatar mpya bana! Huoni hata mimi nimejiandaa na avatar ya mwaka mpya kwa kuimwaga ile yenye mzee wa kimarekani na kutumia hii mpya ya ulaghai wa watani wangu?
yupo kama dada yangu
Uumbaji
kazuriiiii
Hethina mburi kabitha kikore, shigha nnekutumie
tuwasiliane