Bukoba na Moshi?
Hapana huyu ni yule mdada anayeitwa f.fox.Hii itakua ni tropical mix
Hiyo ya sasa inafaa na ni nzuri Khantwe, ila mwaka mpya na avatar mpya bana! Huoni hata mimi nimejiandaa na avatar ya mwaka mpya kwa kuimwaga ile yenye mzee wa kimarekani na kutumia hii mpya ya ulaghai wa watani wangu?Kwani nnayoitumia vipi haifai?
Hapana huyu ni yule mdada anayeitwa f.fox.