Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

Wapi wewe mimi nataka gari mpya c mbovu,uliona wapi gari mbovu inavutwa na gari mbovu nataka gari mupya

Hhhaaaaaaa apo hata mi sikushauri na hivi ndomo ana ub.oo kama mtwangio utakuta bwawa haki yamama acha tu
 
Menina mwenyewe anatumika tu





Haswaaaaa cheap publicity nyingine





Ila hawa wanawake wanaokubali kutumika kama toilet paper nao viazi...hawajitambui

Wanawake aina ya Wema hawana utimamu kabisa... nilisha Sema toka kitambo Wema hayuko Sawa kichwani!
 
Wema angejitambua angekuwa mbali sana.....

Ika kwa kuwa anapenda sifa zA kijinga pole yake

Wema kuingia kwenye mahusiano ya mtu kama Diamond kumezidi kumuongezea tatizo la kichwa!

Wema ana hitaji kuwa na mwanaume ambaye hategemei kick au attentions kuingiza kipato!

Wema ana hitaji mwanaume mkali na mwenye msimamo atakaye mwambia nisikuona unafanya hili na hili ,mtu atakaye mshauri kwa kumwambia live kuwa marafiki wa aina hii siwapendi na nisingependa kukuona nao na nina kupa wiki mbili utafute biashara ya kufanya!

Wema haitaji kuwa na mtu kama Diamond ambaye yeye ana mchukulia Wema kama source of income!

Diamond ana mchango mkubwa sana kwa Wema kuwa na matatizo ya kichwa! Sasa mtu ana kwenda kumpa ushauri mwenzie insta au fb badala ya kumpa wakiwa pamoja!

Diamond na Wema si wazima!
 

Unaposema anamchukulia wema kama source of income kivipiii,?? Hapo mnakosea kabisa Domo anafight mwenyewe kumake money,huyo Wema ni chanzo cha uchumi kivipii? ?? Maana dai anahangaika mwenyewee huyo wema kazi yake kuzurula na mashoga zakee
 
Huyo daimond ni mtafuta kiki si ajabu hakuna lolote
Yaani Diamond atafute kiki kupitia Meninah ambae mwisho wake kufahamika ni Kimara Stop Over? Jarida la Baab Kubwa hizi ndo stori zake za kishigingo shigongo, sema watu hawajalishtukia kwavile halijasambaa kama ma-Shigongo mengine!
 
Hhhaaaaaaa apo hata mi sikushauri na hivi ndomo ana ub.oo kama mtwangio utakuta bwawa haki yamama acha tu

kwikwikwikwii akikutia unaomba maji ya kunywa,lakini best, hizi habari za menina na ndomo za ukwee!?
 
Huyu dogo dogo hana characters za kigentleman.Alichonishosha ni kile kipindi alicho mwacha wema kwa mbwembwe na kumrudia.kitendo kile kilinifanya nihoji sana uwanaume wake.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Hahahaa eti `kikao cha harus na menina` tushamshtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…