A
Anonymous
Guest
Hospitali ya Ekenywa wanalazimisha wateja wa Bima hasa NHIF kununua dawa kwao.
Ukienda kutibiwa wanakwambia hii dawa haipo kwenye bima; ukienda Kwa mfamasia ukimuomba akuandikie jina la dawa hawataki. Ukirudi kwa Daktari pia naye anakwambia ukipata pesa njoo uchukue na dawa zao ni ghali sana tofauti na gharama ya kawaida.