Mamia ya wagonjwa pamoja na wazazi wanalala chini wakati posho ya wabunge kwa siku ikizidi mshahara wa kianzio wa walimu na polisi.Tunapoelekea tunapajua?
Ndiyo hivyo, wanasiasa wananguvu kuliko hata wanaofanya kazi. Nchi hii hadi tutakajua kuwa wanasiasa wananafasi yao, na professionals wengi wananafasi yao! tukiweza kutenganisha haya madudu tutaweza kuwaadabisha wanaoturudisha nyuma. Lakini kwa sasa, wanasiasa ni kama miungu watu.
nenda pale amana,mwananyamala na temeke wodi za wazazi hakika utaghadhabika kwa utakayoyaona.eti visenti vya kununulia banko hamna wakati mabilioni ya kulipana posho yapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.