Hospitali ya Same ni ya kuchunguzwa

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,768
4,260
Kiukweli nimeshtushwa sana na hali ya hospitali ya Same katika utoaji wa dawa haswa kwa mama wajawazito.

Dripu hakuna ni za kununua, plasta nazo ni za kununua na kila ultra sound ukitoka unachajiwa 500. Ukiuliza ni ya nini wanajibu ni ya tishu. Aisee Same imekuwaje?

Je, ni halali kweli mtu anaekatwa pesa kwenye bima ya afya NHIF, kulipia mpaka plasta kwa kisingizio kuwa hospitali haina dawa?

Je, ni kweli serikali haipeleki dawa Same hospitali au ndo urasimu ambao unafanywa na wahudumu wa afya?

WAZIRI UMMY tunaomba ukafanye ziara ya ghafla Same hospitali ukashuhudie ninayoyasema.

Kweli dunia haina usawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom