Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 418
Habari za muda huu ndugu watanzania wenzangu... Naamini tunaendelea vyema katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna haja ya serikali kuangalia kwa ukaribu shughuli za uratibu wa masuala ya malipo hasa upande wa network.
Mfano halisi ni kuwa leo nilienda pale hospitalini kwa ajili ya matibabu baada ya kupata ajali nikiwa katika shughuli za utendaji ila nashukuru Mungu sijaumia sana... Ila hali niliyokutana nayo pale hospitalini haikuniridhisha kiukweli kama binadamu kwa sababu.
Mfumo wa ulipaji sio rafiki kwani network(Kuna wakala pale wa CRDB cjui kama nitakuwa sahihi) yani mtu aliyemsindikiza mgonjwa anapewa control number kwenda kulipa unaenda pale kwenye malipo unakaa kusubiri network sio chini ya dakika 30 ndo anahudumiwa mgonjwa mmoja hivyo kunakuwa na msongamano mkubwa hasa kwenye upande wa dirisha la malipo.
Hivyo serikali ina haja ya kuweka mfumo mzuri wa ulipaji ili kuepusha adha kwa wagonjwa.
Alamsiki