Hospitali nzuri ya kukata GOVI langu

Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza kwenda kutoa , ambayo ni nzuri na kidonda kipone kwa wiki moja kipone haraka? msaada please kwa wanaojua ,najua kuna watu watakuja badala ya kunishauro wanakejeli ,
Limenisumbua hili dude ,nikigegeda mpaka nimenye kama ndizi na linatunza uchafu inabidi uwe msafi sana

Hongera kwa kuamua kuvua "gamba" na kuvaa "gwanda". maana gamba ulilokuwa nalo (utoko) ni hatari sana kwa afya kama chama cha magamba kilivyohatari kwa mustakabari wa nchi hii.
 
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza kwenda kutoa , ambayo ni nzuri na kidonda kipone kwa wiki moja kipone haraka? msaada please kwa wanaojua ,najua kuna watu watakuja badala ya kunishauro wanakejeli ,
Limenisumbua hili dude ,nikigegeda mpaka nimenye kama ndizi na linatunza uchafu inabidi uwe msafi sana

daaah!kalimenye mwanangu uachane na utumwa wa fikra
 
Back
Top Bottom