Hospitali nzuri ya kukata GOVI langu

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza kwenda kutoa , ambayo ni nzuri na kidonda kipone kwa wiki moja kipone haraka? msaada please kwa wanaojua ,najua kuna watu watakuja badala ya kunishauro wanakejeli ,
Limenisumbua hili dude ,nikigegeda mpaka nimenye kama ndizi na linatunza uchafu inabidi uwe msafi sana
 
Nenda pale Hospitali kwa Dk Jumaa K'koo.
Shuka kituo cha Fire kisha ulizia.
Ndani ya siku 3 unapona na unarejea kazini na "msambweni" bila wasi.
Ndipo alipoponea boy wangu.
 
Pale Chalinze kuna Mzee wa Kimaasai anatahiri ila anatahiri kavu kavu hakuna ganzi.
Kwa mtu mzima nafikiri itachukua muda kidogo kupona kabisa kwa ajili ya mishipa migumu. Na hali ya maumbile ya kusimamisha yanatonesha kidonda lakini ni uamuzi wa busara.
 
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza kwenda kutoa , ambayo ni nzuri na kidonda kipone kwa wiki moja kipone haraka? msaada please kwa wanaojua ,najua kuna watu watakuja badala ya kunishauro wanakejeli ,
Limenisumbua hili dude ,nikigegeda mpaka nimenye kama ndizi na linatunza uchafu inabidi uwe msafi sana

twende nyumbani ukuryani wangu,mbona faster tu,goma linakatwa kavu kavu,inakula herbs kidogo then unakuwa unatia mavi ya mjusi,wale kwa umombo wanaitwa red headed agama.habari kwishney.....unkuja kuanza kuchimba visima fasta tu
 
Hahahaha....JF we dare to talk openly. Bora umeweka wazi mkuu, na naona sehemu kibao za kwenda kulitolea umeelekezwa. Kimbia kalitoe mkuu, huku kwetu kaskazini ukaoa mwanamke akakuta unalo anakukimbia...hatajali umemtolea mahari ya gharama kiasi gani wala harusi yako ulitumia gharama kubwa kiasi gani. Kweli ndo maana wanasema kuwa mjanja wa kuuliza uliza vimaswali kwa utakaempenda kwanza usijeuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Nenda pale Hospitali kwa Dk Jumaa K'koo.
Shuka kituo cha Fire kisha ulizia.
Ndani ya siku 3 unapona na unarejea kazini na "msambweni" bila wasi.
Ndipo alipoponea boy wangu.
anaanza kupiga game baada ya siku ngapi?
 
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza kwenda kutoa , ambayo ni nzuri na kidonda kipone kwa wiki moja kipone haraka? msaada please kwa wanaojua ,najua kuna watu watakuja badala ya kunishauro wanakejeli ,
Limenisumbua hili dude ,nikigegeda mpaka nimenye kama ndizi na linatunza uchafu inabidi uwe msafi sana

Usilitoe hujajuwa tu jinsi ya kulitumia, wanawake wengi wanayapenda hayo siku hizi. Kutunza uchafu ni wewe tu unavyojiweka
 
nenda pale hospital ya mnazi mmoja kuna daktari mmoja kirema anajua kweli kuyatoa hayo mi nilipona baada ya wiki 2+
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza kwenda kutoa , ambayo ni nzuri na kidonda kipone kwa wiki moja kipone haraka? msaada please kwa wanaojua ,najua kuna watu watakuja badala ya kunishauro wanakejeli ,
Limenisumbua hili dude ,nikigegeda mpaka nimenye kama ndizi na linatunza uchafu inabidi uwe msafi sana
 
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza kwenda kutoa , ambayo ni nzuri na kidonda kipone kwa wiki moja kipone haraka? msaada please kwa wanaojua ,najua kuna watu watakuja badala ya kunishauro wanakejeli ,
Limenisumbua hili dude ,nikigegeda mpaka nimenye kama ndizi na linatunza uchafu inabidi uwe msafi sana

Hebu soma hapa kabla hujafanya maamuzi yako potofu.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...ke-wananipenda-kwa-sababu-sijatahiriwa-6.html
 
Usilitoe hujajuwa tu jinsi ya kulitumia, wanawake wengi wanayapenda hayo siku hizi. Kutunza uchafu ni wewe tu unavyojiweka

Utajuta siku utakapoambiwa kuwa hilo ni dili na kuliotesha haiwezekani. Anyway kama uko serious nenda BOSHI Hospital Mbezi kwa Msuguri ni wazuri, ndugu yangu alilitolea pale na akaweza kuendesha gari ndani ya siku nne
 
Back
Top Bottom