Asante mdau nimeicheki naona ni ya ki dini obviously watakua wapole sana wakunga wakeMAMA NENDA MOYO SAFI UBUNGO MSEWE...HUTOJUTA...KAWAIDA PALE NI 50,000(NINA UHAKIKA)...KWA KISU NI 500,000 NADHANI...
WALE WAKUNGA PALE WANAIPENDA SANA KAZI YAO..WAPOLE SANA NA VERY CAREFUL...HUTOJUTIA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitanda kwa siku? Au wamejumlisha hapohapo
Ukishaweka neno "NZURI" huitaji kuuliza gharama maana kizuri lazima kiwe cha gharama.Natumaini wote mu wazima mpaka kufika hapa.
Naomba kushauriwa hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje kwa njia ya kawaida au mkasi?
Nilikua muhimbil earlier kwa service zake nimeona nibadilishe gear angani hata kwa hiyo wanayoita fast track bado ni mtihani sana.
Natanguliza shukran za dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hospital mke wangu anaisifia sana sijui ina jambo gani haswaHata kama haupo Dar , jitahidi uwe karibu na Rabininsia memorial hospital , ili upate huduma bora .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital za serikali kujifungua ni bure iwe kwa kawaida au operation...
Sent using Jamii Forums mobile app