Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
466
540
Natumaini wote mu wazima mpaka kufika hapa.

Naomba kushauriwa hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje kwa njia ya kawaida au mkasi?

Nilikua muhimbil earlier kwa service zake nimeona nibadilishe gear angani hata kwa hiyo wanayoita fast track bado ni mtihani sana.
Natanguliza shukran za dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAMA NENDA MOYO SAFI UBUNGO MSEWE...HUTOJUTA...KAWAIDA PALE NI 50,000(NINA UHAKIKA)...KWA KISU NI 500,000 NADHANI...

WALE WAKUNGA PALE WANAIPENDA SANA KAZI YAO..WAPOLE SANA NA VERY CAREFUL...HUTOJUTIA...

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mdau nimeicheki naona ni ya ki dini obviously watakua wapole sana wakunga wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini wote mu wazima mpaka kufika hapa.

Naomba kushauriwa hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje kwa njia ya kawaida au mkasi?

Nilikua muhimbil earlier kwa service zake nimeona nibadilishe gear angani hata kwa hiyo wanayoita fast track bado ni mtihani sana.
Natanguliza shukran za dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishaweka neno "NZURI" huitaji kuuliza gharama maana kizuri lazima kiwe cha gharama.
 
Muhimbili if una bima au umeingia kama private wanahuduma nzuri sana.. Hutojutia
 
Hata kama haupo Dar , jitahidi uwe karibu na Rabininsia memorial hospital , ili upate huduma bora .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hospital mke wangu anaisifia sana sijui ina jambo gani haswa
Yeye Clinic asipoenda Rabinsia haoni kama kaenda Clinic akishindwa basi lazima aende Kairuki.

Hebu nisaidie Rabinsia kuna nini kikubwa mi sijawahi kufika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom