Wewe ndio mhusika au kuna mtu unataka umpeleke?Salam wanabodi:Naomba anayejua hospital nzuri kwa kujifungulia mjini moshi-Kilimanjaro ila iwe na-:
-huduma nzuri
-iwe ya private
-inakubali bima(NHIF)
VNenda hospital ya serikalini,huko private mnatafutaga matatizo alafu yakiwashinda mnakuja kumalizia lawama serikalini.
Aisee..., all the best.Ni Mimi mku
kwa minja ImoSalam wanabodi:Naomba anayejua hospital nzuri kwa kujifungulia mjini moshi-Kilimanjaro ila iwe na-:
-huduma nzuri
-iwe ya private
-inakubali bima(NHIF)