Hospital nzuri (PRIVATE) ya kujifungulia mjini Moshi

Kibosho ipo vizuri mnooo, usafi muda wote deki kila mara kubadilishiwa mashuka unabembelezwa kama Mtoto kula saa unachekiwa Maji mpaka ya chooni waweza kunywa kwani ni masafi na mazingira safi + Maombi .

Vipimo vipo vizuri na huduma hasa wenye matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom