Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,969
- 132,604
Mkuu BAK, natoa angalizo tuu, usikute anaechelewesha ripoti ya CAG sio CAG, wala huyo acting CAG, bali ni pale ambapo ripoti ya CAG hupaswa ipite kwanza ndipo itinge Bungeni!.PCCB boss Edward Hoseah By The Citizen Reporters
Posted Tuesday, November 4 2014 at 07:44
In Summary
- INVESTIGATION: As CAG stands accused of dilly-dallying, the anti-corruption bureau moves to submit a detailed report on IPTL
Mkuu BAK, natoa angalizo tuu, usikute anaechelewesha ripoti ya CAG sio CAG, wala huyo acting CAG, bali ni pale ambapo ripoti ya CAG hupaswa ipite kwanza ndipo itinge Bungeni!.
Kwa msio jua, kabla ripoti ya CAG haijawasilishwa Bungeni, Ripoti hiyo inabidi kwanza ikabidhiwe kwa rais wa JMT (for what?), kisha rais akiisha ipokea ndipo iwasilishwe bungeni!.
Sasa inapotokea rais bado hajapata nafasi ya kuipokea, Acting CAG unategemea aseme nini?!. aseme kuwa ucheleweshaji huo unacheleweshwa na Ikulu?!, ni lazima Acting CAG, aseme ipo mezani kwake, bado anaisoma!.
Nilitegemea the last person kuilaumu ofisi ya CAG kwa ucheleweshaji wa ripoti hii ni ZZK, kwa sababu, ZZK kama Mwenyekiti wa PAC, he knows better how this things goes!.
Niliwahi kumuuliza CAG mwenyewe, kama ofisi ya CAG ni independence office, na Ripoti za CAG zinapaswa kuwasilishwa Bungeni, jee kipengele kinacholazimisha kwanza ripoti hizo ni lazima zikabidhiwe kwa rais, ni cha nini?!. Sikupata jibu la maana!.
Pasco.
Blah blah blah, blah blah blah, blah blah.
We will now see super experts who think they are superior and better than PCCB and CAG in this thread.
Tanzanians love gossip and rumors, simply mere talks.
Nacki zile zilzorud ilikua ktk form ya afadhali na sie tumepata mlitaka mle peke yenu! hakuna hata dawati moja lililonunuliwa wala hatujui ziko wapi na waliorudisha hawajulikan!!!!
Mkuu BAK si juzi tulikuwa na harambee ya kuchangia ujenzi wa madawati zile hazikutosha kabisa bana na si unajua zile zilinunua madawati machache sana kwa hiyo ndo maana PM alikuwa na Harambee ya kuchangia madawati juzi hapa.
Mkuu Bilioni Sabibi ni chache sana kwa madawati hayatatosha na wewe unataka wakuu wale wapi wakati wanapitisha mchanganuo huo wa budget ya kununulia madawati. Maana tukitumia Bil 10 hapo kwa vikao na Bil 10 kwa ajili ya kutangaza tender na Bil 10 kwa ajili ya kupitisha mkandarasi na pia Bil nyingine zikatumika kwa ajili ya safari za kufuatilia utengenezaji wa madfawati na tukatengeneza madawati ya Mili 100 tuu hapo si yanatosha Mkuu BAK
Mkuu BAK, kwa maoni yangu, serikali inafanya vyema sana kuichelewesha, ili angalau tutunze national pride, kuwa Tanzania ni independent nation, licha ya umasikini wetu and as beggers as we are, hutukubali kuendesha na nchi mabeberu kwa kisingizio cha kuizuia miasaada ya budget support!, to hell with their budget support, tena ningekuwa mimi ndio JK, ningewashauri kabisa wafungashe virago vyao, warudi zao makawao, ili sisi Watanzania sasa tuanze kuishi in reality kwa kutumia only tunachozalisha!, hivyo kutupunguzia kidogo ule ugonjwa unaitwa "dependant syndrome!"Mkuu Pasco hii ripoti ina umuhimu mkubwa sana kwa Watanzania hasa ukitilia maanani kwamba nchi Wafadhili zimeweka mgomo wa kutoa shilingi Trilioni moja kusaidia bajeti ya 2014/2015 mpaka waipitie ripoti hiyo na kuridhika nayo. Haihitajiki miezi minne ili kuweza kuipitia hii ripoti kabla ya kuifikisha Bungeni. Kwa Serikali ambayo inajali utendaji wake, maslahi ya nchi na wananchi hii ripoti ingepewa kipaumbele kikubwa ili ijadiliwe Bungeni haraka sana, lakini kwenye Serikali DHAIFU na ya kidhalimu ripoti hii haina haraka yoyote ili kuendelea kuficha wizi huu mkubwa na ukitilia maanani mwakani kuna uchaguzi mkuu basi usishangae wakaendelea kuipotezea na hivyo kutojadiliwa kabisa Bungeni.
==> Ur such a crook, useless & mavi kabisa, i can't wait to see u being hanged & stoned to death...!!!
==> Not even low IQ..u don't hv it...!!! KICHWA KIBUYU
kabisa...
BAK mtasubiri sana matokeo ya hii report na kama watakuw ana guts za kufanya lolote au watasamehewa na kuambiwa wazirudishe fedha kama wale wa EPA au watakutwa na hatia na wataambiwa wajuiuzulu na mchezo umeisha au kesi iende mahakamani iwe kama ya akina Mramba na Yona haiishi.
Kwa kuwa ni wakubwa na wana fedha ila wewe iba kuku kama hutachomwa moto au ukibahatika kupona ukienda mahakamani kesi yako haichukui siku mbili ushahukumiwa kifungo
Mnajitia vidole na kucheka wenyewe eeehhh!
fedha ya escrow account haijawahi wala haitakuja kuwa mali ya umma hata kama ikitengenezwa ripoti na MBOWE.
Acha ungese wewe zilikuwa pesa hazikuwa za Umma kwanini serikali ipoteze pesa kuchunguza kitu ambacho hakiwahusu?
Mkuu
BAK si juzi tulikuwa na harambee ya kuchangia
ujenzi wa madawati zile hazikutosha kabisa bana na si unajua zile
zilinunua madawati machache sana kwa hiyo ndo maana PM alikuwa na
Harambee ya kuchangia madawati juzi hapa.
Mkuu Bilioni Sabibi ni chache sana kwa madawati hayatatosha na wewe
unataka wakuu wale wapi wakati wanapitisha mchanganuo huo wa budget ya
kununulia madawati. Maana tukitumia Bil 10 hapo kwa vikao na Bil 10 kwa
ajili ya kutangaza tender na Bil 10 kwa ajili ya kupitisha mkandarasi na
pia Bil nyingine zikatumika kwa ajili ya safari za kufuatilia
utengenezaji wa madfawati na tukatengeneza madawati ya Mili 100 tuu hapo
si yanatosha Mkuu BAK
Mkuu BAK, kwa maoni yangu, serikali inafanya vyema sana kuichelewesha, ili angalau tutunze national pride, kuwa Tanzania ni independent nation, licha ya umasikini wetu and as beggers as we are, hutukubali kuendesha na nchi mabeberu kwa kisingizio cha kuizuia miasaada ya budget support!, to hell with their budget support, tena ningekuwa mimi ndio JK, ningewashauri kabisa wafungashe virago vyao, warudi zao makawao, ili sisi Watanzania sasa tuanze kuishi in reality kwa kutumia only tunachozalisha!, hivyo kutupunguzia kidogo ule ugonjwa unaitwa "dependant syndrome!"
Tena mchangiaji mkuu wa budget support ni UK ambaye sio tuu, ndio aliyetunyonya sana wa,kati wa ukoloni, bali amekuwa akiendeleza ukoloni mamboleo na ubeberu kupitia misaada yake lukuki, na kikubwa zaidi ndie nchi ambayo imepanga sio tena kuendelea kutunyonya bali kutukamua kabisa katika gesi!.
We have had enough!, na hata ningekuwa mimi JK, najua tumeibahela za IPTL, wafadhili wamesimamisha misaada kuisubiri ripoti itoke, ripoti imetoka kweli tumeiba, tutaitangaza?!. Mtu ulikate tawi la mti ulio kalia, kisa tujisenti twa misaada?!.
Ripoti itazuiliwa kwanza, tuirekebishe vizuri kuwa hakuna wizi, ndipo tuitoe!.
Kwani kwenye Rada kulikuwa na wizi?!, au EPA ilikuwa Wizi?, kwenye Gulf Stream Jee?, Deep Green?, Meremeta? and list goes on!, kwani nani ameshitakiwa, au kuwajibishwa?!.
I love my country Tanzania!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi!.
Pasco.
Kiukweli pamoja na madhaifu yake yote hadi kuitwa Mr. Dhaifu, lazima nikiri kwa hili, JK amenifurahisha sana!, ni kiburi, jeuri na mtu wa msimamo wa kulinda his dignity na national pride!. Kama mlidhani JK atawatetemekea hao wafadhili kwa kwenda kujikomba komba kwao na kuwalamba viatu, ili watupe hiyo general budget support!, mmenoa!. No way!, JK sometimes ni mtu wa misimamo isiyo yumba!, tena namshauri kama vipi, sio tuu wakwende zao na hiyo budget support yao, bali tuwatimulie mbali, wakwende makwao, na miradi yote waiache tuwakabidhi Wachina tujue moja kuliko kutunyanyasa na kutudhalilisha kwa umasikini wetu, japo wa kujitakia!, hivyo kuitumia hiyo misaada kama fimbo ya kutuchapia!.Pride ya Wakwapuzi kukwapua shilingi bilioni 200 za walipa kodi huku kila huduma nchini elimu, maji, usafiri, umeme zikizidi kudorora halafu hao waliomo ndani ya Serikali dhalimu na ya kifisadi wakilaumu maamuzi ya Wafadhili kukataa kutoa pesa zao eti uamuzi wao unaathiri bajeti ya Serikali na huyu DHAIFU kuikimbia nchi ili asiulizwe chochote kuhusiana na wizi wa pesa hizo na ripoti ya CAG/PCCB. Huo ni umbulula kamwe hauwezi kuitwa pride labda kwa watu wenye njaa kama wewe na wanaopenda kujipendekeza pia kama Pasco.