Hormonal imbalance

Hbr zenu,naomba kujuzwa kuhusu hormone imbalances..nilienda hosptl kupimwa nikaambiwa nna hyo kitu ktk swala zima la uhitaji wa mtoto..kwa anaejua nn kisababishi cha hormone kua hv kuna uhusiano wowote na upevushaji wa mayai?
 
Mkuu utimilifu wa kiumbe hai chochote ikiwempo binadamu umebebwa na mambo makuu 2, nayo ni
1.Nature ....
2.Nurture ....
 
Hbr zenu,naomba kujuzwa kuhusu hormone imbalances..nilienda hosptl kupimwa nikaambiwa nna hyo kitu ktk swala zima la uhitaji wa mtoto..kwa anaejua nn kisababishi cha hormone kua hv kuna uhusiano wowote na upevushaji wa mayai?

Hormone imbalances ipo na ni kawaida kwa wanawake na wanaume.. pia ni moja kati ya sababu znazopelekea mtu kushndwa kupata mimba.. vp umeambiwa ni im
balance ya hormone gani.?
 
Pole ndugu,Hormone Imbalance ni tatizo linatibika vema,kwanza lina sababishwa na vitu mbalimbali mf stress,Kubadili mazingira ya kuishi,vyakula n.k.Kuwa imbalanced inapelekea kutokupevuka kwa mayai kwa mwanamke,hivyokitu kinachotokea ni kutokupata siku zako kwa mpangilio,na wakati mwingine kukosa kbs...zipo dawa za kutibu tatizo hili,ukienda hospital kama ulivyoenda,watakupa dawa za ku balance hormones...matokeo ya kubalance utaona kama ni siku kwa mwaanamke zitakuwa regularly,na hapo kama mwanaume yupo vema mkikutana kimwili kwa wakati wa fertilization basi lazima kitu kitokee...ujauzito,nina ushuhuda wa hili,its very possible,in deep explanation ni PM.thanks.:amen:
 
Asanten,ckuambiwa ni hormone gan hazikubalance bt nimeambiwa nna hormone imbalance na kuna dawa nimeandikiwa ila bdo cjachukua inahitajika laki mbili na 60 ndo najipanga nikachukue nilienda kwa dr.mwaka pale ilala bungoni..cku zangu zimekua irregular sn nilivyoambiwa hv niliogopa sn,bt now at least nimewaelewa najipanga nikachukue dawa..tnxs @ol!
 
Hormone imbalances ipo na ni kawaida kwa wanawake na wanaume.. pia ni moja kati ya sababu znazopelekea mtu kushndwa kupata mimba.. vp umeambiwa ni im
balance ya hormone gani.?
hapana ckuambiwa ni hormone gan haikubalance,ila nimekua na irregular periods ss hapo cjui itakua hormone gn haikubalance
 
Asanten,ckuambiwa ni hormone gan hazikubalance bt nimeambiwa nna hormone imbalance na kuna dawa nimeandikiwa ila bdo cjachukua inahitajika laki mbili na 60 ndo najipanga nikachukue nilienda kwa dr.mwaka pale ilala bungoni..cku zangu zimekua irregular sn nilivyoambiwa hv niliogopa sn,bt now at least nimewaelewa najipanga nikachukue dawa..tnxs @ol!

Ungeenda Hospitali nyingine hiyo fedha ya dozi ingepungua kidogo
 
Hbr zenu,naomba kujuzwa kuhusu hormone imbalances..nilienda hosptl kupimwa nikaambiwa nna hyo kitu ktk swala zima la uhitaji wa mtoto..kwa anaejua nn kisababishi cha hormone kua hv kuna uhusiano wowote na upevushaji wa mayai?

kama unatumia bima nenda hindu mandal kwa dr Kocher mbibi mamii mi alinitibu,na sasa ni mama kijacho...hata bila bima nafikiri matibabu ni bei nafuu...
 
kama unatumia bima nenda hindu mandal kwa dr Kocher mbibi mamii mi alinitibu,na sasa ni mama kijacho...hata bila bima nafikiri matibabu ni bei nafuu...
Asante mamii kwa ushaur..nahis kuchanganyikiwa na hili tatizo ila Mungu yupo naamin atanitetea.
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 35, nimeolewa na nimekuwa nikitafuta ujauzito kwa miaka miwili na nusu bila mafanikio, juzi nimeenda hospital nikapimwa hormone, na majibu alikuwa kama ifuatavyo;

- Progestrone 0.5
- Prolactin 19.94
- FSH 15.24
- Estradiol level 42
- Testosterone 0.56.,kwa wale madaktari au wanaoelewa naombeni kueleweshwa.

Asanteni..​
 
Habari, wana forum jamani.

Naomba mnisaidie hili tatizo linaishije, nilienda hospital nikaambiwa nina hormone imbalances kwasababu nahitaji sana mtoto.

Msaada wenu wapendwa.
 
Habar,wana forum jaman naomba mnisaidie hili tatizo linaishije,nilienda hospital nikaambiwa nna hormone imbalances kwasbb nahitaji sana mtoto..msaada wenu wapendwa.
9 Signs You Have A Hormonal Imbalance + Easy Ways To Fix It

When the word "hormones" is uttered, visions of raging menopausal women come to mind for most. That's so sad. Hormonal changes affect everyone from birth to death, yet we seem to have a very negative association with that word.

For women, the most pronounced changes come in their 40s and 50s, but can been seen as early as their mid-30s. Many more women are having hormonal symptoms earlier, which has a lot to do with not only our lifestyle and diet, but also the pollution, toxins and xenoestrogens (synthetic chemicals that act as estrogen in our bodies) that we're exposed to every day.

Some of the most common symptoms of hormonal imbalances are:

1. Persistent weight gain.
Yes, there are lifestyle, diet and physical activity components to maintaining a healthy weight, but that isn't the end of the story. Many women have underlying hormonal imbalances that make it difficult to maintain a healthy weight. Unaddressed or emerging insulin resistance is one of the most common; small changes in diet - such as eliminating processed foods, sugars and wheat - are steps in the right direction.

2. Belly fat and loss of muscle mass.
When your endocrine system is under stress there's an underproduction of certain hormones and an overproduction of others (mainly cortisol). This makes your body store fat for future use, making an increase in belly fat a clue to adrenal fatigue.

3. Low libido.
One of the most noticeable symptoms of hormonal imbalance is low libido, which starts with disturbed sleep. Without quality sleep our sex hormone production can diminish.

4. Fatigue.
Can't make it past mid-morning without some sort of pick-me-up? How about that mid-afternoon crash? It isn't normal to feel sluggish, scattered or mentally foggy. Easy dietary changes, such as eliminating wheat and most grains, will help stabilize your blood sugar.

5. Anxiety, irritability and depression.
Not feeling like yourself? This isn't the time for pharmaceuticals. Anxiety and depression are clues that you have an imbalance, toxicity, are overworked, stressed out, and most likely aren't nourishing your body the way it needs. Listen to your inner voice and take the actions necessary to meet your needs.

6. Insomnia and poor sleep patterns.
This starts the cycle of physical stress and increases cortisol levels, which directly causes many hormonal imbalances. There isn't one area of your life that insomnia doesn't touch.

7. Sweating.
For many women, night sweats and hot flashes are the first uncomfortable sign that something is amiss. This isn't the time to start hormone replacement therapy, but begin a food journal by jotting down what you eat and drink, how you feel physically, and any emotions that come up after. Many times our emotions are the trigger that increases internal temperature. The next time you feel the flashes coming on, stop and think about the thoughts swirling around in your mind.

8. Digestion problems.
Gas, bloating and slow digestion are common hormonal problems that aren't usually associated with hormonal imbalances, but may be associated with eating bad foods, not chewing your food and eating too much. When you don't have optimal digestion, your body is starving because of poor nutrient extraction.

9. Cravings.
After eating way more than you should have, or having gone through half a bottle of wine, do you look back and ask yourself why? Common causes of cravings and excess eating are adrenal fatigue, insulin resistance, and other hormonal imbalances. Again, minimizing sugars, alcohol, dairy and wheat - although difficult - not only will help control cravings, but your digestive issues as well.

Please note that many of these symptoms can be linked to other physical problems, and a simple blood test can tell you if there are other underlying concerns.

With consistent effort applied to improving diet and digestive health, stress management, improved sleep and consistent physical activity, true holistic health is attainable.

symptoms-of-hormone-imbalance1.jpg
 
Habar,wana forum jaman naomba mnisaidie hili tatizo linaishije,nilienda hospital nikaambiwa nna hormone imbalances kwasbb nahitaji sana mtoto..msaada wenu wapendwa.

pole sana ndugu na tatzo, lakin hilo tatzo ni dogo sana kwa Mungu, kikubwa uwe na imani kwamba ukiombewa utapona, kama ww ni mkazi wa Dar es salaam njoo kwenye mkutano wa injili uliopo sala sala-mbezi beach uje uombewe na mchungaji kutoka kenya ambao tiali ushaanza, maombezi ni bure hayana malipo yoyote, kama upo serious kwa msaada nitafte kupitia hii namba 0655078961.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom