Kazi gani?
kati ya mambo atakayo yakumbuka mwambukusi maishani mwake ni muda aliopoteza kuongea na samia, jambo historia itamkumbuka kwa ushauri aliotoa. Ilipofika saa 6 usiku bila tamko lolote kuhusu aliowasilisha zaidi ya maandalizi ya uzinduzi wa kampeni nilijua imetoka.Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa. My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY! View attachment 3461350
Wacha washughulikiwe272K views · 8.9K reactions | Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na maisha. Yupo tayari kw
Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na...www.facebook.com
Wewe hukuwahi kuwa na hope bwana!Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa.
My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY!
View attachment 3461350
Chochote kinawezekana katika Tanzania ya sasa.Hivi watamnyonga kweli?
Mkuu, kwanini unamchukia TL kiwango hicho. Je dini, siasa, deni au mafanikio yake??Sawa. Sasa hivi si yupo Ubelgiji na familia yake na rafiki yake kipenzi Amsterdam? Ahahahahaha!!
We jamaa acha kiburi cha uzima na madaraka ya muda. Na jeuri ya pumzi ya bureSisi hatukulialia kuhusu Lissu, bali alikamatwa tu na sasa anatuhimiwa kwa Kesi yenye Hukumu ya Kula Kitanzi! HAKUNA kulialia!
Ninyi si mna mawakili wasomi kibao na ushahidi dhidi ya maovu ya Rostam mkisaidiwa na Polepole, britanicca na Mange si mnao? Kinachowafanya msimfungilie mashtaka huyo Rostam ni nini? Acha kulialia! Nyambafu!!
Dada Joyce umesahau ya Mbowe alivyoachiwa.Aachiwe kwani amemaliza kesi? Samia na Mwabukusi ndio Wana orders za kuachilia watuhumiwa wa uhalifu?
Labda ikifika Ile tarehe ya msamaha wa Rais December
Wewe utaishi mileleBaada ya hapo Lissu anakula kitanzi! Tunasonga Mbele!!
Lissu ana mafanikio gani kwa mfano?Mkuu, kwanini unamchukia TL kiwango hicho. Je dini, siasa, deni au mafanikio yake??
Ni ujinga kukumbushia kifo wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua kifo kipo kwa kila mtu. Ni ujinga.We jamaa acha kiburi cha uzima na madaraka ya muda. Na jeuri ya pumzi ya bure
MUNGU hummiliki. Kanyaga dunia hii kwa tahadhari ya kesho.
Nami nitakufa ila sio kwa kitanzi!Wewe utaishi milele
Kila mtu hata Viongozi wa nchi hakuna wa kudumu milele. Watakufa siku na mwaka fulani. Inaeleweka.Ni ujinga kukumbushia kifo wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua kifo kipo kwa kila mtu. Ni ujinga.
Ila hapa ninasema kwa sauti kila mtu atakufa kwa staili na sababu yake.
Nimestuka huyu jamaa ni Kitengo.Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa.
My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY!
View attachment 3461350
Mkuu sasa Mh Lissu atafanya kampeni za nini wakati chama chake hakishiriki huo ujinga?Tundu lissu nahisi ataachiliwa mwezi wa 10 ili asiwe amefanya kampeni zozote