HOOOORAAAY!.......
tanzania imekombolewa
baada ya mimi kumchagua DK SLAA,HALIMA MDEE,NA DIWANI WAO WA CHADEMA nitakuwa hapo JJ namshughulikia yule ''mdudu'' na grants kwa wingi sana:smile-big:Kile kitambulisho chako cha kupigia kura kiweke karibu siku zimekwisha
Mkuu, alishamwagwa huyu mama, uchaguzi kwa hapa Arusha ni kukamilisha Ratiba!...Sasa hivi kila msafara wa 'kulipwa' wa ccemu ukipita ni kuzomewa na kuonyeshwa alama ya antenna!asaleeeee!!
kwa jinsi nisivyompenda huyo mama yaani nitafurahi sana wakimbwaga chini
muone na kitambaa chake kichwani!!
aisee ninyi mmepinda inavyotakiwa haswaaaaa hahahaha hahahaaMkuu, alishamwagwa huyu mama, uchaguzi kwa hapa Arusha ni kukamilisha Ratiba!...Sasa hivi kila msafara wa 'kulipwa' wa ccemu ukipita ni kuzomewa na kuonyeshwa alama ya antenna!
Wakuu, jana 27/10/2010, Kamanda Mbowe alikuwa Arusha, ambapo walifanya mkutano wa kampeni wa Historia hapa mjini, katika viwanja vya NMC!...Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini Bwana G.Lema alihutubia huku masaa yote akishangiliwa na umati ambao ulivunja rekodi hata ile ya Mkutano uliohutubiwa na Dr Rais Slaa mwenyewe.
Katika hatua ya kushangaza na kukubalika kwa CHADEMA mjini Arusha, nilifurahi kugonganisha macho na Ndugu Felix Mrema, Mbunge aliyetupwa kushoto katika kinyang'anyiro cha safari hii, na ambaye amekuwa Mbunge wsa CCM kwa vipindi kadha, akiwa kwenye gari la taasisi fulani, huku akicheka muda wote katika hali ya kufurahia jinsi wanaArusha watakavyofanya mageuzi ifikapo 31/10/2010, na kummwaga Batilda.
Arusha imekombolewa tayari!, tuangalie kwingineko, Kamanda NGONGO, kazia maarifa hapa.
View attachment 15819
Hapa ni baada yaMwenyekiti wa Mkoa wa Chadema kumkaribisha Kamanda Mbowe ahutubie.
View attachment 15818
WanaArusha wakisikiliza kwa makini hotuba ya G.Lema
View attachment 15817
Hapa wakishangilia
View attachment 15816
Eneo la NMC-Unga LTD ambako mkutano ulifanyika.
Kamanda NGONGO, kazia maarifa hapa.
Arusha na Kilimajaro wala thithiemu wasipoteze muda wajaribu lindi na Mtwara labda!
Wakuu, jana 27/10/2010, Kamanda Mbowe alikuwa Arusha, ambapo walifanya mkutano wa kampeni wa Historia hapa mjini, katika viwanja vya NMC!...Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini Bwana G.Lema alihutubia huku masaa yote akishangiliwa na umati ambao ulivunja rekodi hata ile ya Mkutano uliohutubiwa na Dr Rais Slaa mwenyewe.
Katika hatua ya kushangaza na kukubalika kwa CHADEMA mjini Arusha, nilifurahi kugonganisha macho na Ndugu Felix Mrema, Mbunge aliyetupwa kushoto katika kinyang'anyiro cha safari hii, na ambaye amekuwa Mbunge wsa CCM kwa vipindi kadha, akiwa kwenye gari la taasisi fulani, huku akicheka muda wote katika hali ya kufurahia jinsi wanaArusha watakavyofanya mageuzi ifikapo 31/10/2010, na kummwaga Batilda.
Arusha imekombolewa tayari!, tuangalie kwingineko, Kamanda NGONGO, kazia maarifa hapa.
View attachment 15819
Hapa ni baada yaMwenyekiti wa Mkoa wa Chadema kumkaribisha Kamanda Mbowe ahutubie.
View attachment 15818
WanaArusha wakisikiliza kwa makini hotuba ya G.Lema
View attachment 15817
Hapa wakishangilia
View attachment 15816
Eneo la NMC-Unga LTD ambako mkutano ulifanyika.
Mkuu umeniacha sina mbavu, hasa nikikumbuka tulikotokea na huyu Kamanda! toka kampeni zianze! hahah ahaha hahaha!!!!!!