TXTING LESSON: Chris "The Duchess" Walton demonstrates how she texts with her Guinness world record holding fingernails inside the New York

Public Library in New York.

Usiogope...Kashikisha na super-gluu hizo!...haiwezekani zikue hivyo, lazima zitakatika katika shughuli.Dah! nimeogopa, kweli umaarufu una kazi.
hapo kwenye utajiri nimepapenda zaidi.haya makucha yata nunuliwa na Museum akiyakata..

umaarufu na utajiri....
Usiogope...Kashikisha na super-gluu hizo!...haiwezekani zikue hivyo, lazima zitakatika katika shughuli.
Huyu banaa anavyoishi anajua yeye mwenyewe aiseehahahahahaha lol
kwanza kitanda kitatosha kwa wawili kweli...
Huko mbali sana, aanze kutuwekea anapokula kwanza, inakuwaje?Akienda msalani inakuwaje kujiswafi? Afroie tuwekee picha anapokuwa msalani tafazali........
Wee nae!!!!PJ hapo kwenye red kucha nazo zinahusika? mie bado kujua.
Wee nae!!!!
Sina maana hiyo....kwi kwii kwiii kwiiii kwiiiii kwiiiiiii!