Hooooooooo Mooooooly snap....

Wakikutumia uniletee, niko kule jiukwaa la Maria Roza.[/QUOTE]


Ntafuata maalekezo babu ...
unifungulie geti nkigonga ..
Kwa hiyo wahitaji za chooni yu??
 
Hizo sio kucha halisi navyoona kha??!! Hili jukwaa akabidhiwe AD naona siku hizi anakesha huku

hey sis,
mambo vipi ..
Duhhh naona unataka kunipa uridthi ..
Haina neno inabaki kwenye familia lol

Hizo ni kucha zake kabisa sis...

Vipi ulienda home??
 
Hivi Afro.....sijaelewa......huyu ni mwanaume au mwanamke....nataka nipate uhuru wa kuchangia vizuri....
 
5628774.jpg


NAILING A RECORD: Chris "The Duchess" Walton shows off her Guinness world record holding fingernails outside the New York Public Library.

Urembo nao ukizidi inakuwa ni kero kwa wengine.
 
na kweli....sasa tumepata majukwaa mawili....lile la Maria Roza na jukwaa la Afrodenzi......

hahahahahah , Preta bana mie kule sio mwenyeji sana, nachunguliaga tu teh tehteh lol:)

Hivi Afro.....sijaelewa......huyu ni mwanaume au mwanamke....nataka nipate uhuru wa kuchangia vizuri....

dahhhhh Ni mdada huyo my dear .. African America ..
 
hey sis,
mambo vipi ..
Duhhh naona unataka kunipa uridthi ..
Haina neno inabaki kwenye familia lol

Hizo ni kucha zake kabisa sis...

Vipi ulienda home??[/QUOTE]

Hapo kwenye bold unakesi ya kujibu
maana siku hizi nakuona mara magari mara
makucha haya bana hebu jibu PM haraka iwezekanavyo

Duhhhhh
Kesi tena nli dhani tumesha maliza lol
nimekujibu tayari sis ...
 
Back
Top Bottom