Jahlex JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 512 Reaction score 604 Aug 16, 2016 #21 Hizi ndizo zile tongozo za mafataki wa mujini....utawanasa wengi kazi kwako kuwafolenisha tu.
RJ-White JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 744 Reaction score 752 Aug 17, 2016 Thread starter #22 Jahlex said: Hizi ndizo zile tongozo za mafataki wa mujini....utawanasa wengi kazi kwako kuwafolenisha tu. Click to expand... Umewaza mbali sana
Jahlex said: Hizi ndizo zile tongozo za mafataki wa mujini....utawanasa wengi kazi kwako kuwafolenisha tu. Click to expand... Umewaza mbali sana
mimahsuley20 Member Joined Aug 16, 2016 Posts 29 Reaction score 33 Aug 17, 2016 #24 Hutafuti mdada wa kumpa rift na kupiga nae story (urafiki) Bali unatafuta msichana wa kumtongoza na wakuwa mchumba maana hata mke wa mtu anaweza kuwa rafiki
Hutafuti mdada wa kumpa rift na kupiga nae story (urafiki) Bali unatafuta msichana wa kumtongoza na wakuwa mchumba maana hata mke wa mtu anaweza kuwa rafiki
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,746 Reaction score 4,351 Aug 26, 2016 #25 Hahahah unatumia uchawi wa mzungu kuwa nasa, hongera zako , ila na wewe subiri kunaswa