Umesema kweli. Ila hata story zinanoga kama anayeongea na wewe yuko vile unavyopenda. Akija mnene asienee kwenye seat itakuwaje?Teh..Mkuu kama swala ni kupiga story,unene na ufupi unahusika vipi?..Wanene na wafupi hawana story?..Nadhani kama lengo ni kampani ya story tu, ungesema unapendelea mtu mwenye interests zipi ili muweze kuendana
Teh..Mnene anashida gani kwenye siti..Kwani unampakata??Umesema kweli. Ila hata story zinanoga kama anayeongea na wewe yuko vile unavyopenda. Akija mnene asienee kwenye seat itakuwaje?
Haya kuwa na subiraaaNamsubiria. Niko serious labda kama nimeeleweka vibaya. Ila asiwe mke wa mtu.
Hapana. Umewaza mbali sana. Lakuni ni kweli kuwa na binti kwenye foleni mmeweka mziki laini baada ya kazi za kutwa nzima au kusikiliza Jahazi ya 88.5 kuna raha yake...foleni utaona inasogea...Yawezekana unatafuta binti wa kufanya nae ngono kwenye foleni wewe..
Hizi tafsida siku hizi.!
May be suala la size ya sit bro....Teh..Mkuu kama swala ni kupiga story,unene na ufupi unahusika vipi?..Wanene na wafupi hawana story?..Nadhani kama lengo ni kampani ya story tu, ungesema unapendelea mtu mwenye interests zipi ili muweze kuendana
Kibaruani kwako kila binti ana usafiri wake?!Kwa ufupi kabisa, natafuta girl anayefanya kazi Dar city centre na anatumia public transport. Awe kati ya 20 to 26 years old, asiwe mnene au mfupi. Nahitaji kampani yake kwenye foleni za jiji hili tupige story ndani ya gari langu. Nitampick na kumdrop. Ali Hassan Mwinyi Road. Ni PM.
Maadili ya kazi yanakataza kumpa lift mfanyakazi mwenzio?!! Haya tushajua unachokitafuta.Maadali ya kazi.
Hahaa. Sio masharti. Na pia sio lift ni urafiki. Sasa rafiki si vema akawa unayependa alivyo?
No more questions.Maadali ya kazi.