Honourable Speaker!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Honourable Speaker!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by reina, Apr 17, 2012.

 1. r

  reina Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  honourable speaker...i am marriage..

  mgombea huyu kushindwa kuelewa swali hata baada ya kurudiwa zaidi ya mara tatu na hatimae kushindwa kujibu!! Duuuuuh kweli English is a problem!! inaonekana huyu mama alikua amekariri speech yake maana haiwezekani ashindwe kuelewa kila swali analoulizwa hata linaporudiwa.

  full vituko bungeni leo!!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Duh, ni wa chama gani huyo mtu arifu?
   
Loading...