britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,285
- 49,221
Ni mwanamama Jenester muhagama ambaye hunyoosha mkono na kusema "Mheshimiwa spika kuhusu Utaratibu"
Nkagundua kumbe siyo Tanzania tu, hata mabunge mengine wana Jenester Muhagama wao wa Utaratibu(oder)
Bunge la afrika kusini lina mwanamama honourable Lindiwe kila muda point of oder au kwa kiswahili kuhusu Utaratibu
Pitia video zake fupi fupi uone
Hapa anaonekana dak 1:08
Sekunde ya 34