Hongereni zuku! Itv sasa inapatikana

Hongereni zuku! Itv sasa inapatikana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Hongereni sana ZUKU CHANNEL Sasa ITV itapatikana kwenye no 29 Kama huipati fanya hivi nenda kwenye Menu--->Installation-->password 0000-->sellect--> Default Then Press Ok
 
Hi kitu tuliletewa sms na Zuku wenyewe kutufahamisha jinsi ya kuset! Ni taarifa nzuri kwa wale ambao hawakupata sms hizo.
 
Ni kweli kabisa hata mimi nilipata taarifa kupitia zuku wenyewe nikaona nishiriki na wengine ambao pengine walipotezasimu au hawakutumia number zao kwahiyo hawaijui hii taarifa
 
Back
Top Bottom