Hongereni zoomTanzania kwa maboresho

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Ni dhahiri sasa mtandao wa zoomtanzania.com especially kwenye forum ya nafasiza kazi na tenda pameboreshwa sana.

Kwa sasa matangazo ni machache na yapo verified tofauti na mwanzo.Pia kesi nyingi za utapeli wa ajira zimepungua sana.

Zamani ulikua ukifungua tu asubuh unakuta matangazo kibao ya kazi kumbe mengine ni ya utapeli
Big up
 
Ni dhahiri sasa mtandao wa zoomtanzania.com especially kwenye forum ya nafasiza kazi na tenda pameboreshwa sana.Kwa sasa matangazo ni machache na yapo verified tofauti na mwanzo.Pia kesi nyingi za utapeli wa ajira zimepungua sana.Zamani ulikua ukifungua tu asubuh unakuta matangazo kibao ya kazi kumbe mengine ni ya utapeli
Big up
Zoom hawaaminiki hata sasa maana mpaka sasa kazi zao zingine hazina contacts za kuapply eti wanasema utumie "APPLY NOW" option ambayo mara zote ukitumia huitwi.
 
Aaah hili li interface lao jipya linaboa mbaya bora ile ya zamani ilikuwa simple sana. Wangeendelea tu na ile lakini waimprove verification ya sources za ajira. Niliitwaga moja tu mwakajuzi.
kweli baba mfumo wa ku list ulikua simple
 
Muonekano wa sasa ni mbaya,haueleweki bora wa awali jambo jingn km ukitumia Apply Now ya Zoom Application hazifiki unaitwa interview na matapeli tu
 
Back
Top Bottom