Hongereni wanawake kwa siku yenu!

Hongereni wanawake kwa siku yenu!

Kironde

Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
27
Reaction score
6
Wapo watu ambao wanatenda mambo katika maisha yetu na tungetamani kuwalipa bei kubwa kuliko chochote duniani. Lakini hata kama tungesema tumlipe mwanamke kwa anayotenda, hakika hakuna bei inayolingana. A woman is simpy PRICELESS!! HAPPY WOMAN'S DAY WAMAMA wa ukweli na halisi!
 
Wanaume kauzu sanaaaaaa! Katika siku 365 za mwaka mmetugea siku 1 afu zilizobaki 365 mmejibakizia!!!!!!! Damn! Afu wanawake na sie bize tunashangilia kabisaa badala tudai usawa halisi! Mfumo dume is here to stay
 
Mpo kwenye siku yenu.
 
Samahani sijui unamaanisha nini hapa ''A woman is simpy PRICELESS'' hana thamani au ulitaka kumaanisha nini?
Wapo watu ambao wanatenda mambo katika maisha yetu na tungetamani kuwalipa bei kubwa kuliko chochote duniani. Lakini hata kama tungesema tumlipe mwanamke kwa anayotenda, hakika hakuna bei inayolingana. A woman is simpy PRICELESS!! HAPPY WOMAN'S DAY WAMAMA wa ukweli na halisi!
 
"PRICELESS" in the sense kwamba hana bei! ni zaidi ya bei yoyote duniani. Naona unachanganya "PRICE" na "WORTHY"
 
Wanaume kauzu sanaaaaaa! Katika siku 365 za mwaka mmetugea siku 1 afu zilizobaki 365 mmejibakizia!!!!!!! Damn! Afu wanawake na sie bize tunashangilia kabisaa badala tudai usawa halisi! Mfumo dume is here to stay

365 -1 = 365 ????
 
acha uongo wewe mbona siku zenu zipo kila mwezi
 
asante sana ,lakini tujiulize,ni ukweli kuwa wanawake tunastahili hii pongezi?tunajitambua kuwa ni wanawake na tunatekeleza majukumu yetu na tunajua haki zetu???
 
Back
Top Bottom