Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
So story yako inatufundisha nini??
Tuamini uchawi
So story yako inatufundisha nini??
Hahahaha. Hapa jamaa kapoteaMkuu nimependa ushauri wako. Unaweza ukatoa na ushauri nini kifanyike huko kibiti?
Mimi nafikiri watumie zaidi intelijensia kama wanayoitumia kuzuia mikutano na maandamano ya siasa pamoja na hii waliyoitumia hapo kwenye tukio la picha badala ya kutumia nguvu nyingi bila kujua unapigana na nani.Mkuu nimependa ushauri wako. Unaweza ukatoa na ushauri nini kifanyike huko kibiti?
Hata akizikwa uimwamini labda uhakikishe ameozaHata binadamu aliyekufa usimwamini, labda awe amezikwa..
Hata akizikwa uimwamini labda uhakikishe ameoza
Hata binadamu aliyekufa usimwamini, labda awe amezikwa..
Asante kwa tahadhari, Rais alindwe kwa SALA, na kwa hali na mali.
Hata akioza usimwamini labda ukutane naye peponi...
Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.
Inajulikana kuwa maadui wengi wanaweza kubuni mbinu nyingi sana za kumfikia na kumdhuru Mh. na hasa kwa dunia ya sasa ambapo kitu kibaya kinaweza kufichwa ndani ya kucha na kutoa kitu hicho kwa njia ya hewa kwa mlengwa.
Naomba tukio la leo lisijirudie, kwenye mambo ya usalama, tunafundishwa kuwa usimwamini binadamu aliyehai labda marehemu tu ndiye wa kumwamini.
Asanteni.
mbona anawatuma watu kuwanyanyasa wapinzani mameya na viongozi wapinzani IPO siku yatamrudiaAsante kwa tahadhari, Rais alindwe kwa SALA, na kwa hali na mali.
Mkuu BG Tantawi, kiukweli nimeipenda observatory skills zako for taking notes of every tiny details. Hilo linaitwa birds eye view of an eagle-eyed man!. Yaani una uwezo wa kuona vitu ambavyo kwa jicho la mtu tuu wa kawaida, huwezi kuona. Watu kama nyinyi ndio mnatakiwa kuwa spotted mapema tangu mkiwa shuleni, ili kuiitwa na kupelekwa mafunzoni kunolewa na kuwa sehemu za wale jamaa zetu wa sehemu, hivyo kabla hajaja nyie ndio mnatangulizwa as advanced party. Wenzetu Wamarekani wamepiga hatua, wana vaa miwani za e-ray zinaona hadi pini!.Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.
Inajulikana kuwa maadui wengi wanaweza kubuni mbinu nyingi sana za kumfikia na kumdhuru Mh. na hasa kwa dunia ya sasa ambapo kitu kibaya kinaweza kufichwa ndani ya kucha na kutoa kitu hicho kwa njia ya hewa kwa mlengwa.
Naomba tukio la leo lisijirudie, kwenye mambo ya usalama, tunafundishwa kuwa usimwamini binadamu aliyehai labda marehemu tu ndiye wa kumwamini.
Asanteni.
Usanii wa Kipumbavu tu Ngoja Mungu ashushe radi tuone umahiri wao!Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.
Inajulikana kuwa maadui wengi wanaweza kubuni mbinu nyingi sana za kumfikia na kumdhuru Mh. na hasa kwa dunia ya sasa ambapo kitu kibaya kinaweza kufichwa ndani ya kucha na kutoa kitu hicho kwa njia ya hewa kwa mlengwa.
Naomba tukio la leo lisijirudie, kwenye mambo ya usalama, tunafundishwa kuwa usimwamini binadamu aliyehai labda marehemu tu ndiye wa kumwamini.
Asanteni.
GoodLeo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.